Jinamizi ni nini? Kwanini hutokea wakati wa kulala tu?

Na ile hali waweza hisi ni jinamizi kweli make ikitokea huwezi hata kutingisha mkono

ilikua ikinitokea mara nying mno. nikawa nadhan mchawi ananikaba. ila baada ya kupitia hili jukwaa na kusoma thread mbalimbali nimefunguka akili. siiogop hiyo tena hali.
 
Hata Mimi nikilala chari naota ndoto mbaya sana huwa najiuliza sipati jibu kuna uhusiano gani kulala chari na ndoto za kutisha?
 
ilikua ikinitokea mara nying mno. nikawa nadhan mchawi ananikaba. ila baada ya kupitia hili jukwaa na kusoma thread mbalimbali nimefunguka akili. siiogop hiyo tena hali.

Astral projection ama???
 
Astral projection ama???

Ndio mkuu, hiyohiyo. naivizia siku hiyo hali ikinitokea tena niweze kuona kama nami naweza kufanya safari. kwani elimu hii nimeipata hapa jukwaan cku si nying na hali hyo bado haijanitokea tena pamoja na juhud za kulala chali Ili hali ije tena.
 
Usiivizie amua tu kuanza kuifanya
 
Kila siku nasema ntakuja kuuliza kuhusu Hilo...labda kina Mzizi Mkavu wanaweza saidia, nishawahi kabwa Na Jinamizi usiku but Ni tofauti Na ndoto mbaya ukilala chali, mm kila nikilala chali lazima niote ndoto mbaya hata kila siku! Mbaya zaidi huota napambana Na ukiwa jirani kitandani ntakupiga mangumi Na mateke, but hutokea Tu nnikilala chali.
 
Usiivizie amua tu kuanza kuifanya

Nimeamua na tayari kuna mwalimu ananitumia masomo kwa kiswahili. kwa njia ya email. cjafika level hyo nafkiri. now najifunza kwenye meditation. ambayo hata ivo nayo cjaiva. ila kuna cku nliwahi jaribu astral projection hata kweny ganzi sifiki ndugu. ndo maana nasema navizia hyo hali adimu.
 
Hii utashangaa hata mchana inanitokea na saa nyingine hata Usingizi haujanichukua sana.Nakakamaa then naona kama kuna kitu kisicho cha kawaida kinaendelea Kwenye macho na mawazo yangu.
 
Pia uwe Unasoma masomo yanayowekwa na blog inaitwa Jitambue Sasa aliintroduce Appolo jukwaa hili hili la intelligence na kwa hakika utapata kitu. Mi sikuhizi najitahidi kuipitia na kwa hakika inanijenga zaidi kiroho
 
Last edited by a moderator:
Hii utashangaa hata mchana inanitokea na saa nyingine hata Usingizi haujanichukua sana.Nakakamaa then naona kama kuna kitu kisicho cha kawaida kinaendelea Kwenye macho na mawazo yangu.

Ikija hiyo hali sasa hivi hebu jaribu kuzama deep mpaka uweze kusogea pembeni na mwili wako ubaki kitandani
 
Ndio mkuu, hiyohiyo. naivizia siku hiyo hali ikinitokea tena niweze kuona kama nami naweza kufanya safari. kwani elimu hii nimeipata hapa jukwaan cku si nying na hali hyo bado haijanitokea tena pamoja na juhud za kulala chali Ili hali ije tena.

unaonja sumu wewe huh?
 
Pia uwe Unasoma masomo yanayowekwa na blog inaitwa Jitambue Sasa aliintroduce Appolo jukwaa hili hili la intelligence na kwa hakika utapata kitu. Mi sikuhizi najitahidi kuipitia na kwa hakika inanijenga zaidi kiroho

ahsante, nimeanza juzi kuipitia hyo blog.
 
Last edited by a moderator:
Kiukwel hilo ni tatzo la kiroho {spirit}. we katka ulmweng wa roho mwil wako auna kazi kila unacho kiona kwenye ndoto nikwel kinakua kinatendeleaa katka ulmwengu wa rohoo wachawi na mapepo ndio yanakua yana-control spirt yako kiroho unaeza ukavunja amri ya 6 na mapepo,wachaw ndio mwil wako unaota unafanya mapenz ukitaka kuamka unackia mwil mzto hata kuinuka uwez ndan ya dakka 1 unaamka alaf ukumbuk kitu labda machache tu kwa sabab roho mapepo wachaw usafir kwa dak. Moja kutoka popote kwenda popote. Kumbuka hata lusifa wakat bado malaika alikua anasafr kwa dakka 1 dunia nzima naktpeleka tahalifa zote za kila mtu na roho yako iko ivo ivo nguv ya kuitumia hatna ndo mana inatumiwa na wachaw ukfa utapata nguv tena KABLA UJA LALA TAJA JINA LA YESU MARA TATU KAMA NI MUISLAM TAJA ALLA MARA TATU NAHAMN HAUTA OTA CHOTE KIBAYA THANKS FOR READIND THIS
 
Habari zenu wadada na wakaka.

Leo nmeamua ku share nanyi dawa ya huyu maarufu kama "jinamizi la usingizini"

To be honest huyu jamaa alishanijia mara nyingi tu nkiwa usingizini na kisha kunikaba na pia huwa nashindwa ku "move".. Maana mwili unakua kama ume paralaizi vile.. Ata sauti haitoki. Kwa mara nyingi hali hii hunitokea endapo ntalala nkiwa nmeweka earphone masikioni nasikiliza music.

Mara za mwanzo nlikua sijui nifanyaje basi nlikua naumia sana zaidi ya 10 minutes.

Siku moja ikanijia akili nisome ayatul kursiyu endapo litanjia tena. Well likaja hyo siku, kwakua siwezi toa sauti nkawa naisoma kimoyo moyo.. Trust me just in 3 seconds linakaniachilia na nguvu zote hurudi na huamka kisha naanda mazingira nalala tena (huwa halirudi tena kwa usiku huo)

So kwa mara chache sana (mara moja kwa miezi 3 ) ikinitokea huwa nasoma kisha linaniacha hivyo hivyo.

Najua wengi hukutwa na huyu jinamizi. Dawa ndio hiyo.

Karibuni.
 
Sasa ayatul kursiyu ndo nn maana wengine hawafaham hiyo kitu na pia wengine ni imani tofaut na ww hawawez jua dadavua mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom