jiwe jeusi
JF-Expert Member
- Sep 5, 2012
- 861
- 834
Huuu ni ushetani, mie hunijia siku nitakayo pumzika pombe.. nikilewa may be huja lakini si feel chochote sababu ya mtungi. Iman yangu ndio hunikwamua
Hapana kwakuwa hakuna mawasiliano ya moja kwa mojaVipi mtu akiwa mjamzito Alf akakumbwa na jinamizi,inaweza muumiza kiumbe tumboni?!
Yani mimi vyovyote nitakavyo lala lazima niote jana nimeota napiga selfie na Simba sijaulizia maana yake nini maake ndoto zangu ni majangaMkuu hata mimi nahitaji kujua aisee..Mimi nikilala chali nahisi kama nakabwa na jinamizi ila kuna watu waliniambia ni sababu za kibayalojia sasa sijui ni kweli
mshana jr assist please
Mmh hiyo ni noma mkuuYani mimi vyovyote nitakavyo lala lazima niote jana nimeota napiga selfie na Simba sijaulizia maana yake nini maake ndoto zangu ni majanga
Simba tena mkuu?Yani mimi vyovyote nitakavyo lala lazima niote jana nimeota napiga selfie na Simba sijaulizia maana yake nini maake ndoto zangu ni majanga
Yes Mkuu we niambie kama unajua maana yake maake leo nimeamua kuagfiza mkonyagi kabisa mkubwa naunywa bila kudilute ili kama ni wangaa waje wakutane na distilled nilishachokaSimba tena mkuu?
Tunamsubiri Mshana JrYes Mkuu we niambie kama unajua maana yake maake leo nimeamua kuagfiza mkonyagi kabisa mkubwa naunywa bila kudilute ili kama ni wangaa waje wakutane na distilled nilishachoka
Kumbe kuna wengine mnapigika hivi pole chiefMimi huwa naota nakimbia then naanguka nainuka tena nakimbia then naanguka mwendelezo unakuwa ni hivyo hivyo
Hii hata mimi ninayo ni vizuri umeileta. Ngoja tusubiri wajuvi wa mambo wake watusadieHabari wana jamii, hivi kuna uhusiano gani kati ya kulala chali na ndoto za ajabu/kutisha.
Kila nikilala hasa nikilala chali nimekua nikiota ndoto zenye kutisha tisha mfano naitwa na mtu lakini siwezi kuitika kwa sauti pia nishawai kuota nakimbizwa au mimi namkimbiza mtu kutaka kumpiga. Je kuna uhusiano gani wa kulala chali na ndoto za aina hii?
Jagood.
huyo jamaa anawangaa muda huu anaongeza uganga muda hawezi onekanaa hewani na ana muda hayupo hewani atakuwa analoga tu muda huuTunamsubiri Mshana Jr
uko sahihi kabisa mkuu kula likeWhat Is Sleep Paralysis?
Sleep paralysis is a feeling of being conscious but unable to move. It occurs when a person passes between stages of wakefulness and sleep. During these transitions, you may be unable to move or speak for a few seconds up to a few minutes. Some people may also feel pressure or a sense of choking. Sleep paralysis may accompany other sleep disorders such as narcolepsy. Narcolepsy is an overpowering need to sleep caused by a problem with the brain's ability to regulate sleep.