jina tuu mimi hoi

Mtakatifu Pusi ! Nyau!
Uko wapi wewe? Mbona makeke yako niliyokua nikiyajua , kama kuhaha nite'kali jukwaa hadi jukwaa, ukivizia maluz'boll siyaoni? Ama walishakuchapa tego nini ?



Mkubwa tangu mwaka uanze nimebadilishwa Idara,kwa hiyo sasa hivi siko tena kwenye kazi ya ulinzi ninaingia kazini mchana na kazi yenyewe ni ngumu kama zege,ila ila bado tuko pamoja halafu msalimie sana Filipo nasikia marejesho ana kiumbe ndani sasa waambie sitaki kuwasumbua tena
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom