Jimbo la Shinyanga Mjini lapata mrithi wa ubunge. Ni baada ya maandamano ya chadema.

Jiwejeusi

JF-Expert Member
May 3, 2011
754
131
Baada ya mbunge aliyechakachuliwa, mwenyekiti wa chadema mkoa wa shy na mjumbe wa kamati kuu ya chadema taifa, marehemu shelembi kufariki dunia, leo amepatikana mrithi wake. Mrithi wake ni ndugu JUMA PROTUS, mwenyekiti wa wilaya ya kahama mkoani hapa.
Ndugu JUMA alialikwa kushiriki maandamano ya kupinga kupanda kwa bei ya maji mkoani. Yeye alipewa kuzungumza, kama kawaida ya makamanda hakulemba. Wanachi wakaanza kumushangilia na kumwita mbunge. Wakamlazimisha akubali achukue mikoba ya marehemu shelembi, naye alikubali, wananchi wakamchangia pesa za usafiri na malazi kama asante kwa kukubali wito wao. Nilishawahi kupost humu ndani kuwa ccm haitakiwi hapa shy na mbunge mteule masele, hapendwi, hatambuliki na wala hafahamiki kama mbunge wa jimbo la shy mjini ambalo kwa miaka mingi limekuwa ngome ya chadema. Wasukuma wameamka, magamba watavuka.
 
Kujipanga mapema ni muhimu sana, maana kuna kazi kubwa ya kuhakikisha mianya ya uchakachuaji imezibwa. Matawi kwa wingi, na elimu ya uraia.
 
Baada ya mbunge aliyechakachuliwa, mwenyekiti wa chadema mkoa wa shy na mjumbe wa kamati kuu ya chadema taifa, marehemu shelembi kufariki dunia, leo amepatikana mrithi wake. Mrithi wake ni ndugu JUMA PROTUS, mwenyekiti wa wilaya ya kahama mkoani hapa.<br>
Ndugu JUMA alialikwa kushiriki maandamano ya kupinga kupanda kwa bei ya maji mkoani. Yeye alipewa kuzungumza, kama kawaida ya makamanda hakulemba. Wanachi wakaanza kumushangilia na kumwita mbunge. Wakamlazimisha akubali achukue mikoba ya marehemu shelembi, naye alikubali, wananchi wakamchangia pesa za usafiri na malazi kama asante kwa kukubali wito wao. Nilishawahi kupost humu ndani kuwa ccm haitakiwi hapa shy na mbunge mteule masele, hapendwi, hatambuliki na wala hafahamiki kama mbunge wa jimbo la shy mjini ambalo kwa miaka mingi limekuwa ngome ya chadema. <font color="#ff0000">Wasukuma wameamka, magamba watavuka</font>.
<br>
<br>
<br>
Umeeleza vizuri sana ila sijui kwanini watanzania tumetekwa nyara na haya mambo ya ukabila na udini! kwenye RED hapo binafsi sikuona haja ya wewe kuwatambua wapiga kura wa shinyanga kama wasukuma ilihali kuna watu wa makabila mbalimbali pale, wachaga, wanyiramba, wanyaturu, wajita na makabila mengine. Nyerere alifanya kazi kubwa sana kuwaunganisha watanzania bila kujali dini zao au makabila yao, mi nadhani katika wakati huu tujitahidi sana tusitambuane kwa namna yoyote kwa makabila yetu wala dini zetu Aksante!
 
Kujipanga mapema ni muhimu sana, maana kuna kazi kubwa ya kuhakikisha mianya ya uchakachuaji imezibwa. Matawi kwa wingi, na elimu ya uraia.
Mkuu hawana pa kutokea hao wanamagamba. Ni kweli changamoto zipo ila haziwezi kusababsha tukapoteza. Kikubwa ni ushirikiano na watu kuwa commited. Mkuu kama wewe ni mdau basi tuungane ili kwa pamoja tuwashe moto kijiji kwa kijiji hadi kieleweke.
 
The sign of victory does not need drips of blood but strategic plan, management and self actualization. WAR FRONT CHADEMA LETS GO!
 
Umeeleza vizuri sana ila sijui kwanini watanzania tumetekwa nyara na haya mambo ya ukabila na udini! kwenye RED hapo binafsi sikuona haja ya wewe kuwatambua wapiga kura wa shinyanga kama wasukuma ilihali kuna watu wa makabila mbalimbali pale, wachaga, wanyiramba, wanyaturu, wajita na makabila mengine. Nyerere alifanya kazi kubwa sana kuwaunganisha watanzania bila kujali dini zao au makabila yao, mi nadhani katika wakati huu tujitahidi sana tusitambuane kwa namna yoyote kwa makabila yetu wala dini zetu Aksante!
shiba mimi sio mkabila wala mdini. Nilpotaja wasukuma nlimaanisha historia yao ya kuisapot ccm na kuburuzwa lakni sasa hawako hivyo. Skuwa na maana ya ukabila, nilitaka kuonyesha na nmeonyesha ungangari wa wasukuma wa siku za leo. Kwa taarifa yako, wasukuma hatujui kubagua makabila mengine na kwa shy wasukuma ndio wengi na ndio mkoa wao wa asili. Elewa kabla ya kupotosha hoja.
 
kama ameomeombwa, basi ni jambo zuri. Kwani historia inaonesha kuwa watu waliokua viongozi baada ya kuombwa na waongozwa hua wako perfect zaidi kuriko wale waliojiamulia wenyewe kua viongozi.
 
Ama kweli sera ya CDM ni kikwazo kikubwa kwa chama cha magamba,CDM hakika ni nyundo. TWANGA KOTE KOTE MAGEUZI NI SASA WANA CDM.
 
Baada ya mbunge aliyechakachuliwa, mwenyekiti wa chadema mkoa wa shy na mjumbe wa kamati kuu ya chadema taifa, marehemu shelembi kufariki dunia, leo amepatikana mrithi wake. Mrithi wake ni ndugu JUMA PROTUS, mwenyekiti wa wilaya ya kahama mkoani hapa.
Ndugu JUMA alialikwa kushiriki maandamano ya kupinga kupanda kwa bei ya maji mkoani. Yeye alipewa kuzungumza, kama kawaida ya makamanda hakulemba. Wanachi wakaanza kumushangilia na kumwita mbunge. Wakamlazimisha akubali achukue mikoba ya marehemu shelembi, naye alikubali, wananchi wakamchangia pesa za usafiri na malazi kama asante kwa kukubali wito wao. Nilishawahi kupost humu ndani kuwa ccm haitakiwi hapa shy na mbunge mteule masele, hapendwi, hatambuliki na wala hafahamiki kama mbunge wa jimbo la shy mjini ambalo kwa miaka mingi limekuwa ngome ya chadema. Wasukuma wameamka, magamba watavuka.

Mwenziwe alipopolewa mawe lakini bado ni mbunge. Nashangaa mtu asietakiwa bado anakuwa mbunge inakuwaje? Usiniambie uchakachuaji kwani kuna watu 13 walipata ubunge katika uchaguzi huohuo!
 
shiba mimi sio mkabila wala mdini. Nilpotaja wasukuma nlimaanisha historia yao ya kuisapot ccm na kuburuzwa lakni sasa hawako hivyo. Skuwa na maana ya ukabila, nilitaka kuonyesha na nmeonyesha ungangari wa wasukuma wa siku za leo. Kwa taarifa yako, wasukuma hatujui kubagua makabila mengine na kwa shy wasukuma ndio wengi na ndio mkoa wao wa asili. Elewa kabla ya kupotosha hoja.

Nimekusoma mkuu! naogopa sana hiyo kitu, nimefanya kazi Rwanda najua madhara yake asikwambie mtu, tusaidiane kuwaelimisha watanzania waachane kabisa na element hizo kila inapotokea dalili za ukabila au udini.Adios..."
 
Mwenyekiti wangu Juma, 2015 nagombea Kishapu, yule mwarabu wa Maganzo akae mkao wa kuondoka, hapatatosha!!
 
Back
Top Bottom