Jihadhari na tapeli huyu anayejifanya kuuza pikipiki na vifaa vya pikipiki

Mboya mchaga huyo..
Kwaiyo aki kublock ndio huwezi kugoa taarifa police au unapenda kuweka comments kwenye page yake..
Elezea kwanza amekutapeli vipi? Mbona sio rahisi
Nimeelezea tayari, then binafsi nilishaibiwaga simu mbili na nilienda mpaka polisi kuwapa IMEI number na mpaka namba za simu zilizokuwaga kwenye hizo simu zilizoibiwa. Guess what - mpaka kesho polisi hawajawahi kunipa jibu la simu zilipo wala anayezitumia. Walinizungusha mpaka nikaamua kuachana nao maana niliona dalili za wao kuja na maneno meeengi yakutaka pesa tu. Yaani umeibiwa alafu mtu analeta story za tuwezeshe tukawakamate wezi wapo huko Morogoro kwenye mashamba ya Mpunga. Binafsi niliona kulipoti ishu kama hii polisi ni kupoteza muda ni bora niliweke hapa kama kuwatahadharisha Watanzania wenzangu na pia kutoa wito kwa baadhi ya vyombo husika kama TCRA kushughulikia mambo kama haya. Najua kuna watakaosema serikali haijadili au kufuatilia mambo ya mitandaoni ila najiuliza hawa watu wanaokamatwa kwa kutukana watu au kupost picha mbaya mitandaoni mamlaka (jeshi la polisi na TCRA) wanasubiriaga taarifa vituoni au kwenye majalada yao?! Kila IDARA iwajibike ipasavyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Physical address yake huyo muuza pikipiki unaijua au mlikutana mtandaoni,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sema na sisi bhana ifike hatua tujifunze unawezaje kumtumia mtu pesa humfahamu hujawah muona hujui bidhaa gani utaletewa?
Maduka ya spare za pikipiki yako mengi sana hapa town alishindwa nn kwenda?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu amini ninachokuambia. Sifanyi biashara kama yake au nina chuki naye. Ninakuambia ukweli ambao umetokea. Hata wewe jaribu kupiga simu uone reaction yake,anaweza asipokee simu hata siku nzima akidhani ni mtu aliyekutapeli umebadilisha namba. Hapokei simu kwa wakati na vitu kama hivyo. Pia naomba nikuwekee screenshot ya chart yake na mtu aliyemtapeli

Sent using Jamii Forums mobile app
Iweke mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sema na sisi bhana ifike hatua tujifunze unawezaje kumtumia mtu pesa humfahamu hujawah muona hujui bidhaa gani utaletewa?
Maduka ya spare za pikipiki yako mengi sana hapa town alishindwa nn kwenda?

Sent using Jamii Forums mobile app
Nini maana ya online business? Dunia imebadilika siku hizi mpaka vyakula huna haja ya kwenda restaurant una order ukiwa nyumban unaletewa msosi wako.
Sema wajinga wajinga kama hawa hawakosekani na kutapeli watu.
 
Nimeenda insta yake, haiwezekani auze pikipiki za jina kubwa na mpya kwa bei alizoweka, hata kama ni used. Mfano, ni ajabu sana kuuza 2019 Honda CRF-250F kwa Milioni 4.4. Sounds too good to be true. Mimi nina 2014 Honda CRF-250L na sitauza chini ya milioni 10. KTM hii hapa chini huwezi kuuza kwa 3.4 million. Kwa vyovyote vile, hizo picha alizobandika insta karibia zote hazikupigwa Tanzania. Utajua tu ukizipitia kwa umakini.

Back
Top Bottom