specialist88
JF-Expert Member
- Aug 31, 2014
- 1,141
- 617
- Thread starter
- #21
Mkuu angalia alichokiandika na kupost ndio utaelewa. Anauza bidhaa za piki piki na piki piki.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu angalia alichokiandika na kupost ndio utaelewa. Anauza bidhaa za piki piki na piki piki.
Nimeelezea tayari, then binafsi nilishaibiwaga simu mbili na nilienda mpaka polisi kuwapa IMEI number na mpaka namba za simu zilizokuwaga kwenye hizo simu zilizoibiwa. Guess what - mpaka kesho polisi hawajawahi kunipa jibu la simu zilipo wala anayezitumia. Walinizungusha mpaka nikaamua kuachana nao maana niliona dalili za wao kuja na maneno meeengi yakutaka pesa tu. Yaani umeibiwa alafu mtu analeta story za tuwezeshe tukawakamate wezi wapo huko Morogoro kwenye mashamba ya Mpunga. Binafsi niliona kulipoti ishu kama hii polisi ni kupoteza muda ni bora niliweke hapa kama kuwatahadharisha Watanzania wenzangu na pia kutoa wito kwa baadhi ya vyombo husika kama TCRA kushughulikia mambo kama haya. Najua kuna watakaosema serikali haijadili au kufuatilia mambo ya mitandaoni ila najiuliza hawa watu wanaokamatwa kwa kutukana watu au kupost picha mbaya mitandaoni mamlaka (jeshi la polisi na TCRA) wanasubiriaga taarifa vituoni au kwenye majalada yao?! Kila IDARA iwajibike ipasavyo.Mboya mchaga huyo..
Kwaiyo aki kublock ndio huwezi kugoa taarifa police au unapenda kuweka comments kwenye page yake..
Elezea kwanza amekutapeli vipi? Mbona sio rahisi
Physical address yake huyo muuza pikipiki unaijua au mlikutana mtandaoni,Nimeelezea tayari, then binafsi nilishaibiwaga simu mbili na nilienda mpaka polisi kuwapa IMEI number na mpaka namba za simu zilizokuwaga kwenye hizo simu zilizoibiwa. Guess what - mpaka kesho polisi hawajawahi kunipa jibu la simu zilipo wala anayezitumia. Walinizungusha mpaka nikaamua kuachana nao maana niliona dalili za wao kuja na maneno meeengi yakutaka pesa tu. Yaani umeibiwa alafu mtu analeta story za tuwezeshe tukawakamate wezi wapo huko Morogoro kwenye mashamba ya Mpunga. Binafsi niliona kulipoti ishu kama hii polisi ni kupoteza muda ni bora niliweke hapa kama kuwatahadharisha Watanzania wenzangu na pia kutoa wito kwa baadhi ya vyombo husika kama TCRA kushughulikia mambo kama haya. Najua kuna watakaosema serikali haijadili au kufuatilia mambo ya mitandaoni ila najiuliza hawa watu wanaokamatwa kwa kutukana watu au kupost picha mbaya mitandaoni mamlaka (jeshi la polisi na TCRA) wanasubiriaga taarifa vituoni au kwenye majalada yao?! Kila IDARA iwajibike ipasavyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Labda kafoji jina ? Uwezi jua
Ameshasema anatapeli bifaa vifaa vya pikipiki na Pikipiki. Inavyo onekana anatangaza kuwa anauza mf taa ya pikipiki shs 15,000. Ukimrushia hatumiKamtapeli nani? ,katapeli nini?, katapeli vipi?
Isije ukawa una tatizo lako binafsi na yeye unamchafua hapa jukwaani
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeamua ujitetee brother?Toa ushaihidi kuonyesha utapeli wake..
Hata Mimi sishindwi kutunga tuhuma na kumchafua ye yote nkiamua
Weka evidence.
Sent using Jamii Forums mobile app
Iweke mkuuNdugu amini ninachokuambia. Sifanyi biashara kama yake au nina chuki naye. Ninakuambia ukweli ambao umetokea. Hata wewe jaribu kupiga simu uone reaction yake,anaweza asipokee simu hata siku nzima akidhani ni mtu aliyekutapeli umebadilisha namba. Hapokei simu kwa wakati na vitu kama hivyo. Pia naomba nikuwekee screenshot ya chart yake na mtu aliyemtapeli
Sent using Jamii Forums mobile app
Nini maana ya online business? Dunia imebadilika siku hizi mpaka vyakula huna haja ya kwenda restaurant una order ukiwa nyumban unaletewa msosi wako.Sema na sisi bhana ifike hatua tujifunze unawezaje kumtumia mtu pesa humfahamu hujawah muona hujui bidhaa gani utaletewa?
Maduka ya spare za pikipiki yako mengi sana hapa town alishindwa nn kwenda?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni mtandaoniPhysical address yake huyo muuza pikipiki unaijua au mlikutana mtandaoni,
Sent using Jamii Forums mobile app
kama ni mchagga pole yake.Mboya mchaga huyo..
Kwaiyo aki kublock ndio huwezi kugoa taarifa police au unapenda kuweka comments kwenye page yake..
Elezea kwanza amekutapeli vipi? Mbona sio rahisi