Jide na Gadna hongereni sana kwa hili...

Leornado

JF-Expert Member
Nov 12, 2010
1,529
196

Nikiwa kama mpenda maendeleo nawapongeza sana kwa juhudi zenu za ziada.

Ni kati ya wanandoa mfano wa kuigwa.

NB: Thanx anko michuzi.
 
Last edited by a moderator:
Nawapongeza kwa jitihada zao za kuona wanasimama independently na kuwa wajasiriamali wa kueleweka. Inatia moyo kwetu wengine pia tuanze kujishughulisha badala ya kuwa wapiga story tu kila siku na kulaumu laumu kusiko kwisha as if kuna mtu anajali kulalamika kwetu!
 
Mi mwenyewe nawapongeza sana kwa maendeleo waliyonayo.

Jide na Gadna kazeni buti ili muwe role model kwa vijana wetu wanaofanya kazi za sanaa hapo nyumbani Tanzania. Nawaomba wana bongo fkavour na waigizaji igeni mifano hii ya Lady JD na Gadner!!

Mungu awabariki sana
 
Ni lini mtatosheka muache kuwakamua underground hapo Clouds?

Vipi una safari ngapi kichwa?Gadner alishaacha Clouds zamani toka mwaka jana,juu ya kuwa independent...so mzee wat is ur point of vbiew..au umesukumwa tu?
 
Big UP:clap2::clap2::tea::tea::tea::tea::popcorn::popcorn::popcorn::popcorn:
 
NGoja niwe a hater kidogo , Huyu kafungua Mgahawa, yule kaanzisha Lotion yake , na yule Kaivest zaidi ya 100 million kwenye Bongo movies , wale mamiss wawili walikua na trip za USA kwa wakti tofauti na huyu mmoja alitaka hadi kuhamia USa ila nadhani uteja ulimkataa . hawa mademu kuna mkono wa kigogo?,Ila Hongereni sana kwa kuweza kujisarimisha !
 
Umetumia Code sana mpaka umepoteza maana lotion?Sio maji!!Nani kainvest 100 kwenye bongo movie...all in all wote ni wajasilia mali na inapendeza kwa sasa kwa kweli....kuona mchanganuo mzuri wa faida na kujituma waliko kuwa wanafanya muda wote..Jide anaimba..mumewe yuko kwa gate anakusanya faranga....ushirikiano mzuri sana.
 
Kweli code hizi ni ngumu sana kuzifungua, ila ni Lotion sio maji, huyu wa maji ni maji kama kawaida. huyo mwingine yeye ni Lotion. naye tumpe hongera maana Lotion zake zina pata soko na juzi juzi katangaza zimependwa na na Wamarekani wenye asili ya Kiasia , hongera zake sana.

JIde kaweka mambo vizuri , ila tatizo ya hiyo restourant kuifahamu ilipo ni kazi kubwa, yeye huitangaza kama ipo nyuma ya Best Bite , ila haipo nyuma ya best bite , iko maeneo ya best bite njia ya kwnda kama JJ Blue , kuna jengo sijui linaitwa nini Plaza, humo ndani ndio ipo, nje hakuna Bongo lolote linasema ni hapo zaidi ya jina la hiyo Plaza.Kupapata inabidi uhangaike sana.ila iko barabarani ni rahisi kuiona kama unajua ni njia hiyo. Hongera zake.

Kuna dada mmoja kinara wa filamu za kI bongo yeye ka invest hizo pesa kwenye filamu mpya ambayo itakua ya aina yake,tunasubiri kuona hiyo blockbuster movie ya kwanza kwa hapa TZ , nadhani ina weza kua aya aiana yake.hiyo dada anaitwa Jacquline Wolper (sijui kama nimepatia jina lake kuandika)
 
Mwanzo wa mavuno ni tone la mvua.....HONGERENI sana sana, ni ujasiriliamali uliotukuka.

Mipango ni mawazo
 
Kwa hali ilivyo hapo kama huna hela huwezi kufanya mambo makubwa kama haya hata nusu yake,kwa hakika wanastahili hongera na natumai watafika mbali.
 
Makini, imetulia, vizuri sana. Kazeni Buti Bandugu, me like this true true....
 
Mi mwenyewe nawapongeza sana kwa maendeleo waliyonayo.

Jide na Gadna kazeni buti ili muwe role model kwa vijana wetu wanaofanya kazi za sanaa hapo nyumbani Tanzania. Nawaomba wana bongo fkavour na waigizaji igeni mifano hii ya Lady JD na Gadna

Inanifurahisha sana watu wanaposema Jide na Gadna, nimeangalia posti zoote hamna hata mmoja aliyesema Gadna na Jide! Hivi huwaga ni bibi na bwana ama bwana na bibi?? Just my observation
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom