Jide na Gadna hongereni sana kwa hili...

Mi mwenyewe nawapongeza sana kwa maendeleo waliyonayo.

Jide na Gadna kazeni buti ili muwe role model kwa vijana wetu wanaofanya kazi za sanaa hapo nyumbani Tanzania. Nawaomba wana bongo fkavour na waigizaji igeni mifano hii ya Lady JD na Gadna

Inanifurahisha sana watu wanaposema Jide na Gadna, nimeangalia posti zoote hamna hata mmoja aliyesema Gadna na Jide! Hivi huwaga ni bibi na bwana ama bwana na bibi?? Just my observation


Mkuu umesahau kitu! Ladies first!!!
 
Vipi una safari ngapi kichwa?Gadner alishaacha Clouds zamani toka mwaka jana,juu ya kuwa independent...so mzee wat is ur point of vbiew..au umesukumwa tu?

Good to know kwamba alishaondoka Clouds, the sad part sehemu ya huo mtaji ni jasho la vijana ambao nao walikuwa wanatafuta maisha. Usilolijua ni sawa na usiku wa kiza, wapiga debe wanampa hongera na sifa kibao.

Wale mafisadi wanaojulikana nao wakifanya investment mtawabebea mabango na kuwapongeza kuwa ni mfano wa kuigwa? I dont know about you but he is not my role model.
 
Ni lini mtatosheka muache kuwakamua underground hapo Clouds?



Hapo nakuunga mkono kabisa, hawa ni watu wale wale wenye roho za kujijazia na kukandamiza wenzao,hawa ni wapambe wa clouds ndio maana wanaonekana wako juu,wana support kubwa ya hawa Mafrisadi wa ajira za vijana Kina Ruge .

Lakini Pia na wapa Hongera maana hata uwe na mtaji una weza ushindwe fanya kitu kizuri, Nyumbani longue napaona kama pazuri
 
kwakweli nawapongeza kwa mafanikio walofikia nipo hapa japo ramani yake inachanganya kdogo apajandikwa nyumbani lounge kama anavyoita na kompaundi zipo 2 majina azina nilijikuta nahudumiwa sehemu ya 2mpaka nilipouliza
 


Nikiwa kama mpenda maendeleo nawapongeza sana kwa juhudi zenu za ziada.



Ni kati ya wanandoa mfano wa kuigwa.

NB: Thanx anko michuzi.


Hii safi sana, ni changamoto kwa kila mtu haswa wasanii, tusibweteke na misifa na tusikatishwe tamaa na vyombo vya habari. Huyu dada namfagilia kwa uvumilivu, ubunifu na kujiamini kumbukeni ule wimbo wake "mnasema sana, hamchoki? nasonga mbele"
 
Last edited by a moderator:
Ni wakawaida tu......................wambea twendeni nawasubiria njiani............
 
Big up Gide na Gadna. Ila huyo wa Lotion hanipati amesomea wapi chemistry maana navyosikia huyo dada kama kasoma basi form six. Sasa mambo ya kutafutiana kansa haku hanipati. Hizi lotion za ulaya tu I am so picky, sitaki chemicals kabisa.
 
Hapo nakuunga mkono kabisa, hawa ni watu wale wale wenye roho za kujijazia na kukandamiza wenzao,hawa ni wapambe wa clouds ndio maana wanaonekana wako juu,wana support kubwa ya hawa Mafrisadi wa ajira za vijana Kina Ruge .

Lakini Pia na wapa Hongera maana hata uwe na mtaji una weza ushindwe fanya kitu kizuri, Nyumbani longue napaona kama pazuri

Am against clouds na unyonyaji wao na monopoly ya kujenga na kuua vipaji!!! a.k.a Za T.H.T lazima zipigwe katika kila kipindi hadi tuzipende tuu....wana'THT hadi kwenye habari clouds....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom