Jiandae kwa majambosss shosti!

MziziMkavu ndo mwezi umeandama na majambo kama haya
Kweli ni shule tosha
Ila duh sijui kama hawa watoto wa siku hizi hizi shule kama hizi wanahitaji kufundishwa
wana utaalam zaidi ya wakongwe ambao wanajiona wao ni wakongwe kwenye majambo
 
Last edited by a moderator:
Aisee baba yangu mzizi mkavu ngoja nimwita mke wangu mama shirima nitest izo taratibu zote alafu nitakupm matokeo yake

weee mama shirima embuu njo huku chumbani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom