JFs Hizi Nazo!!!

Mdundo wa hapa si mchezo!!!

Terry_Bozzio_drums.jpg
 
Zomboko wa JF ebu mwaga historia fupi ya wanamuziki wafuatao.

[1] Marehemu Ndalla Kasheba

[2] Marehemu Kasalo Kyanga

[3] Marehemu Kyanga Songa

[4] Kalala Mwembwe [Sijui kama yuko hai]

[5] Mossesengo Fan Fan
 
Zomboko wa JF ebu mwaga historia fupi ya wanamuziki wafuatao.

[1] Marehemu Ndalla Kasheba

[2] Marehemu Kasalo Kyanga

[3] Marehemu Kyanga Songa

[4] Kalala Mwembwe [Sijui kama yuko hai]

[5] Mossesengo Fan Fan

Kalala Mbwembwe ni marehemu alifia Mbeya na sharubu zake. Ndala alikuja Tanzania mara ya kwanza mwaka 1972 akiwa na bendi ikiitwa FAUVETTE walioimba wimbo wa FRANCISCA, akiwa na BAZIANO na KIKII baadaye akaenda UGANDA kablaya kuenda kuchukuliwa na Mzee John Fedha(wa kinondoni Bamboo Bar) kuja kuchukua nafasi aya KIKIII kama kiongozi wa Orchestre Sfari Sound ya Mzee Hugo Kissima hapo 1980 na kuanzisha mtindo wa DUKU DUKU....mpaka 1984 nadhani akawa solo akipiga zaidi mahoteli ya kitalii na gita lake la nyuzi 12 kabla ya kuanzisha bendi yake mwenyewe ikiitwa ZAITA MUZIKA miaka ya 1980 mwishoni na baadaye kuunga na KIKII kuanzisha kundi la AFRIKA BARA MOTO au WAZEE SUGU mapaka alipokufa 2006
 
Mosesengo alikuja akitokea TP OK JAZZ ya Franco mwaka 1980 kwa mwaliko wa Mzee Makassy na kushiriki kama mwanamuziki mualikwa kabla ya kwenda Kenya.
 
Back
Top Bottom