zubedayo_mchuzi
JF-Expert Member
- Sep 2, 2011
- 4,873
- 1,216
wasikilizaji mtatuma Meseji na kutuambia kirefu cha A.T.M.
Mfano.
A.T.M = Afadhari Tule Mapema.
Mfano.
A.T.M = Afadhari Tule Mapema.
Automatic Teller Machine!
wasikilizaji mtatuma Meseji na kutuambia kirefu cha A.T.M.
Mfano.
A.T.M = Afadhari Tule Mapema.
Amepokea Tena Mlungula
Atamfumania Tena Mchuzi.
Amepokea Tena Mlungula
tunasubiri msahau tumtoe ha ha haaaHa ha ha ya ukweli,vipi kaka yako papa Msoffe mumemtoa jela
Anna Thomas Mwakyembe
tunasubiri msahau tumtoe ha ha haaa
Angalia Totoz Mapema.
We unawaita mods huku hawajagi wanajua huku wastaarabu
Anakula Tiqo na Mbele?Anakula Tigo ile Mbaya.