zubedayo_mchuzi
JF-Expert Member
- Sep 2, 2011
- 4,873
- 1,216
- Thread starter
- #21
Anakunywa Tusker Mapema
Angel Tambulisha Msoffe.Amepokea Tena Mlungula
Angel Tambulisha Msoffe.
ameeka tamaa mbele
jamani bro umesahau hadi uniitaje!!!!! khaaaaa..!!!!!!Wifi yake my wife sijui nikuitaje?
wasikilizaji mtatuma Meseji na kutuambia kirefu cha A.T.M.
Mfano.
A.T.M = Afadhari Tule Mapema.
jamani bro umesahau hadi uniitaje!!!!! khaaaaa..!!!!!!
Khaaaa! We Bi nyakomba wewe!!Amenyoa Tena Manyoya
teh!! kaka na dada!! vp wifi hajambo!!??Wife yangu wa wifi yako sasa hapa 2naitanaje?
teh!! kaka na dada!! vp wifi hajambo!!??
Amenyoa Tena Manyoya
ameeka tamaa mbele
teh teh teh!!!!!!! pole yake!! mwambieWifi mzima,unajua mwezi mchanga huu kidogo mnyama sumbua yeye sana,..
Atumiagi Tunguli MadameXACHA Tunguli MadameX.