zubedayo_mchuzi
JF-Expert Member
- Sep 2, 2011
- 4,873
- 1,216
- Thread starter
- #41
Temea mate chini,
hujampata mjuzi.
Ha ha ha ha hajampata fundi wa mazoezi ya viungo.
Temea mate chini,
hujampata mjuzi.
Ha ha ha ha hajampata fundi wa mazoezi ya viungo.
Temea mate chini,
hujampata mjuzi.
Labda,itabidi nikutafute wewe!
Jamani jamani Shemeji,
Haya bhana.
Ila shem wako pamoja na hlo kapenda na Reception yangu.
Kweli wachina nyko.
Akhaaa!!!
Nimetulia tuli kwa Pedeshee langu la Kihaya,
Nyonga mkalia inni,
ruttashobolwa.
Ngoja ushushwe busha.
Duh! nasikiaga yanaongeza mshawasha wa kimapenzi, ila sina uhakika.........:A S 465:
wowowo ndio mpango mzima!