jf_Mada Moto Moto...Je ni kweli wanawake wenye Makalio Makubwa Wanamvuto sana...?

babu asprin umeamka mzee? Leo mapema ulitutisha sana kuhusu sred juu ya sred. Endelea kunywa maji mengi ya baridi na kachumbari yenye pilipili kali na limao. Dont drink too much jack daniels.

Yeah... Leo namiminapo grants. Staki matatizo.
 
mh my hubby natumai hutoniacha solemba mana me sina

Kwa umbo hili mi sikuachi My arabela...

kisuu.jpg
 
Ng'ongingo a.k.a Wowowo, watu wanayapenda mpaka wanapaka dawa za kichina ili yakue makubwa
 
We shemeji unajua kizazi hk kama huna kalio...utizamwi hata kama una sura nzuri...mchna akawapa dawa yakue ili wadada mumependeze.

Jamani jamani Shemeji,
Haya bhana.
Ila shem wako pamoja na hlo kapenda na Reception yangu.
Kweli wachina nyko.
 
Ila background inavutia macho tu lakini binafsi kwenye sarakasi zetu zile sioni mchango wakeki viile!
 
Utawajua kwa maneno yao.

ndio sisi mzee lazima tuseme hahaaa. ila cha kushangaza utaona mwanamume anafunga pingu za MAISHA na mwanamke asie na makalio halafu akishamuweka ndani anaenda mitaani kuzungusha macho akikimbizia makalio marefu... loh In many cases I fail to understand men..... mna vituko nyieeee...... kumbe kweli MUNGU Hakukosea kuwatafutia wasaidizi vinginevyo sijui ingekuwaje kama mngekaa peke yenu!
 
Back
Top Bottom