JF Woman and Man of The Year 2010: Mchakato Wa Kuwapata

Ni Nani Anafaa Kuwa "JF Man of the Year 2010"?

  • Acid

    Votes: 23 40.4%
  • Kiranga

    Votes: 12 21.1%
  • Nyani Ngabu

    Votes: 22 38.6%

  • Total voters
    57
  • Poll closed .
I salute u GREAT THINKER
Kuna CHIZI mtaani kwetu. ni maarufu kuliko sisi wote maana huwa anafanya mambo yake bila kuogopa mtu tena hadharani. hajawahi kukasirika watu wanapomhurumia jinsi anavyochakura-chakura majalalani. Tumeshauri ndugu zake wamsitiri ili kuficha aibu maana aibu si yake bali ya nduguze.
 
I am sorry to go out of topic, but what you are pointing here is exactly the plight of the relatives of people with mental illness, the family suffers most, first they can not control the illness, second they are traumatized by the stigma from the society. It can be very painful. KIchaa siyo umaarufu. Nadhani Chizi maana yake ni kichaa au ugonjwa wa akili.
 
...nakuomba unielekeza naweza kukuona vipi ana kwa ana. Au kama unaweza kunipatia namba yako ya simu...naomba kama hutapenda kunijibu hadharani...tuonane ...

pole sana dada swala huyu mwana ccm mwenzangu MS inaonekana kila mara anashinda mbele ya laptop na inaonekana hana story na mademu (huo mtazamo wangu usijali).

si umeona alivyokutosa?
 
hata matonya ni celebrity katika kuombaomba, baada ya kufukuzwa na mzee Makamba alikua pale daraja la Morogoro, ilifika mahala hata AL.Mrema alipoenda Moro alimtafuta, hivyo maralia sugu ni celebrity wa wagonjwa na wenye mitindio kama si kilaza.
hakuna chaajabu, kwenye genge la wajinga mia ukitoa mtihani yupo ambae atakua wa kwanza , natilia shaka uwezo wakuelewa mambo wa mleta hoja kama si mada, huenda kwake ........
 
Imepita masiku na miezi sijamsikia huyu ndugu, je yupo wapi maana amehadimika sana siku hizi...!
 
Mchangunuo wa kisiasa kipindi hiki kimemkimbiza jukwaani! Atarudi muda si mrefu
 
Mchangunuo wa kisiasa kipindi hiki kimemkimbiza jukwaani! Atarudi muda si mrefu

Mkuu upo Kibiashara zaidi au upo kwenye kampeni ya kutafuta kondoo wa bwana waliopotea?

Hiyo REV ndo naiona leo, nifanje utaratibu gani ili nikupatie fungu langu la kumi?
 
Mkuu upo Kibiashara zaidi au upo kwenye kampeni ya kutafuta kondoo wa bwana waliopotea?

Hiyo REV ndo naiona leo, nifanje utaratibu gani ili nikupatie fungu langu la kumi?

Nimesimikwa hivi karibuni! Usijali nitafunga na kuomba kwa ajili yako, saidia masikini walio jirani yako
 
Nimesimikwa hivi karibuni! Usijali nitafunga na kuomba kwa ajili yako, saidia masikini walio jirani yako

Mkuu kanisa lako liko wapi?, na wewe umenase kwenye nini yaani una KARAMA gani, ya kuombea utajiri, misukule au?
 
Mkuu kanisa lako liko wapi?, na wewe umenase kwenye nini yaani una KARAMA gani, ya kuombea utajiri, misukule au?

Ninaombea taifa hili lililopotea! Watu wamjue Mungu na wafanye uamuzi sahihi kwenye kisanduku cha kupigia kura hapa Oct! Umejiandisha wewe?
 
originally posted by nguvumali

...hivyo maralia sugu ni celebrity wa wagonjwa na wenye mitindio kama si kilaza...

nguvumali umeenda mbali; huyu ni mkuu mwenzetu lakini ameamua makusudi, (licha ya kuona ukweli kwa macho yake), kuwa kipofu; akiegemea upande mmoja.
 
Malaria Sugu,
Nasikitika mpaka sasa umeshindwa kujitokeza ngaa kunijibu au hata ku acknowledge kuona ujumbe wangu- umenisikitisha sana hasa ukizingatia kashfa na matusi niliyoyapata kwa kukusifia kuwa unajua kazi yako ya propaganda.

Maadamu umeamua kuuchuna, basi naingia mtaani kukutafuta ili niweze kukubaini na unipe hiyo ''tuition'' ila ntakapokufehemu ntawajulisha members wote wewe ni nani- ushanifahamu hapo? Kufika Ijumaa jioni ntakuwa nshaposti jina na picha yako hapa...............hiyo picha yako ntakupiga utakapokuwa unatoka kwenye lifti pale PPF tower................
 
Naona ban ipo njiani inakunyemelea. Tunaweza kuwa na miezi kadhaa ya kukumiss hapa jukwaani wewe kalete tu hiyo picha na jina lake. Hapo ndo utakapojua invisible ni nani!
 
Kuna habari za kuaminika nimezipata kwenye mtandao kuwa kuna mwana JF amekamatwa na FBI (with conspiracy, bank fraud, wire fraud and Mortgage Fraud Scheme)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom