Jf T-shirt

BAGAH

JF-Expert Member
Jan 17, 2012
4,523
1,060
Mimi sijambo...hofu kwenu nisiyewafaham...

nimepata wazo,baada ya kuona mitandao mingine wana tshirt zenye majina ya mtandao husika...kwa mfano facebook...

nikawaza je si vema na sisi tukawa na tshirt zenye chata la huu mtandao wa kijamii...nambari one tanzania...?
Omg...I LOVE JF
 
Attachments

  • images_9.jpeg
    images_9.jpeg
    2.9 KB · Views: 257
  • images_10.jpeg
    images_10.jpeg
    3.2 KB · Views: 261
  • images_11.jpeg
    images_11.jpeg
    3 KB · Views: 257
hofu kwenu nisiyewafaham...
We dogo kwani wote unaowafahamu unajua hali zao?
Wazo zuri....hope zitakuwepo usijali....ngoja kama wajaimove hii thread watatupa jibu maana lol
Hiyo hapo ndo umeiandaa?
 
Mimi ni mteja mtarajiwa wa hizo t-shirt zikitoka tu, tuambieni wapi zipo tuje kununuaaaaaaaaaaaa!
 
@mwaka natamani kweli hii kitu...@husny watoe nyingi sasa...@ericky wote nnaowafaham wako ng'ada...hiyo hapo ni complmentr ya Vivy...@SI Unit ningefurahi likitiliwa mkazo aisee...
 
Hahahahahaaaaa aruuuuuuu...hujakata tamaa tu kwa Vivy?
Lol
 
Nashauri wangetoa Tshirt zenye avatar na IDs then mhusika ananunua Tshirt yenye avatar na ID yake..
 
Mimi sijambo...hofu kwenu nisiyewafaham...

nimepata wazo,baada ya kuona mitandao mingine wana tshirt zenye majina ya mtandao husika...kwa mfano facebook...

nikawaza je si vema na sisi tukawa na tshirt zenye chata la huu mtandao wa kijamii...nambari one tanzania...?
Omg...I LOVE JF
Wazo zuri sana shem wangu,
Zile za mwanzo hata mie niligaiwagwa siku hizo hata cjui jf basi nikaitunza tu
Tangu nimeijua JF naivaaje yan wiki end lzm nilipuke nayo nikiwa kwenye mishe mishe zangu za kukusanya mazaga zaga kkoo!
Nikiona mtu kanikazia jicho najua tu huyo ni memba nampachika ID za watu wa humu!
 
we mwanamke huwezi ukanichekesha kiasi icho aiseee...iyo mistari ya mwisho nimeifurahia kwa kwel...mm nina ham nazo kinoma...ntaivaaje mpaka kanisani!...
 
Nashauri wangetoa Tshirt zenye avatar na IDs then mhusika ananunua Tshirt yenye avatar na ID yake..

tehee...iyo balaa sasa...usije ukakutana na mtu kavaa lile "lipua"...uwiii...
 
Waungwana Wa Arusha jamani nijulisheni Tu design mnatotaka Mimi nitatengeneza idadi inayotaliwa bila down payment yeyote.
 
Wazo zuri ila nina angalizo. Mtandao huu unawanyima usingizi wanamagamba na hawaupendi kabisa kwa jinsi tunavyoponda sera zao na kulaani ubabe wao. Halafu tena eti unavaa t-shirt ya JF na kutembea kifua mbele! Askari wa magamba watakuacha utembee kwa raha zako kweli? Hawatasita kukusimamisha na kuuliza yale maswali yao ya ajabuajabu wakianza na:'Wewe ndo chamii folam?'
 
ndo kaproposal haka kako mezani...sijui kama katapita au laa....!

kijana wewe ni mangi nini...mana umeidaka tender fasta...good!
 
Wazo zuri ila nina angalizo. Mtandao huu unawanyima usingizi wanamagamba na hawaupendi kabisa kwa jinsi tunavyoponda sera zao na kulaani ubabe wao. Halafu tena eti unavaa t-shirt ya JF na kutembea kifua mbele! Askari wa magamba watakuacha utembee kwa raha zako kweli? Hawatasita kukusimamisha na kuuliza yale maswali yao ya ajabuajabu wakianza na:'Wewe ndo chamii folam?'

kwi kwi...wao wanavaa "ukiangalia migomba ni rangi ganiiiii?"....
 
we mwanamke huwezi ukanichekesha kiasi icho aiseee...iyo mistari ya mwisho nimeifurahia kwa kwel...mm nina ham nazo kinoma...ntaivaaje mpaka kanisani!...
Hahaha hahaha hahaha ndio ivo,
Najua kwa namna ulivoipania unaweza ukawa unaivaa badala ya vest unatinga T.shet ya JF then shati juu ukitoka job unaeka shati kwenye mfuko wa rambo unadunda na Tshet hahahhhaha!
Watakukomaje!!
 
Back
Top Bottom