Jf T-shirt

Hahaha hahaha hahaha ndio ivo,
Najua kwa namna ulivoipania unaweza ukawa unaivaa badala ya vest unatinga T.shet ya JF then shati juu ukitoka job unaeka shati kwenye mfuko wa rambo unadunda na Tshet hahahhhaha!
Watakukomaje!!

achaaa kabisa!..yanini nijichoshe na mitisheti iliyoandikwa mambo hata nisiyoyajua...bo!
 
Wazo zuri sana BAGAH! ikiwezekana watengeneze mpaka suti za JF ili tuweze kwenda nazo makazini ....... ilo la T-Shirt likipitiswa na mimi naweka order mapemaaaa.
MAPROSOO.
 
Wazo zuri sana shem wangu,
Zile za mwanzo hata mie niligaiwagwa siku hizo hata cjui jf basi nikaitunza tu
Tangu nimeijua JF naivaaje yan wiki end lzm nilipuke nayo nikiwa kwenye mishe mishe zangu za kukusanya mazaga zaga kkoo!
Nikiona mtu kanikazia jicho najua tu huyo ni memba nampachika ID za watu wa humu!

A'haaa sasa nimeshagundua kitu!
Basi mie USHANIKAZIA MACHO saana! Na USHANIPACHIKIA kwa mnoo!
Ole wako nije nivimbe chini ya kifua !
Namie student! Mahakama ndy itaamua!
 
A'haaa sasa nimeshagundua kitu!
Basi mie USHANIKAZIA MACHO saana! Na USHANIPACHIKIA kwa mnoo!
Ole wako nije nivimbe chini ya kifua !
Namie student! Mahakama ndy itaamua!
Hhahah hahah hahah,
Na usikute nilishakupa id ya watu wasiojulikana ni ME/SHE ahahaahah!
Km ni student sio ishu ungekuwa pupil hapo ningeogopa jela lol!
 
Unatishia kibarua cha Max na kamati yake!

Program ilikuwa hzi Tshirt zitoke kwa udhibiti maalumu, wengine tumekosa hadi leo ila tunavumilia tu.
Miongoni mwa vitu ninavyokosa ni hzo Jf tshirts.
 
si itakuwa balaa unatimba ofisin unakuta mheshimiwa kavaa t shirt na wewe pia umevaa na hujui username yake jf nae hajui yako kumbe daily huwa unaponda thread zake jf si ndo pakuulizana hapo kumbe na wewe upo huku vip bana hebu ntajie username yako.
 
Wazo zuri ila nina angalizo. Mtandao huu unawanyima usingizi wanamagamba na hawaupendi kabisa kwa jinsi tunavyoponda sera zao na kulaani ubabe wao. Halafu tena eti unavaa t-shirt ya JF na kutembea kifua mbele! Askari wa magamba watakuacha utembee kwa raha zako kweli? Hawatasita kukusimamisha na kuuliza yale maswali yao ya ajabuajabu wakianza na:'Wewe ndo chamii folam?'

Wala usitishike. Ziliwahi kutengezwa mika michache iliyopita, na bado naona baadhi wanazo. Mkumbushe Maxence Melo kuhusu hilo, atakupa jibu. Mie navaa mojawapo, ingawa sio oficial T shirt.
 
Wala usitishike. Ziliwahi kutengezwa mika michache iliyopita, na bado naona baadhi wanazo. Mkumbushe Maxence Melo kuhusu hilo, atakupa jibu. Mie navaa mojawapo, ingawa sio oficial T shirt.

tunataka za sasa....zamani hatukuwepo!...na hata waliokuwepo wengine hawakupata..
 
Back
Top Bottom