Jf T-shirt

si itakuwa balaa unatimba ofisin unakuta mheshimiwa kavaa t shirt na wewe pia umevaa na hujui username yake jf nae hajui yako kumbe daily huwa unaponda thread zake jf si ndo pakuulizana hapo kumbe na wewe upo huku vip bana hebu ntajie username yako.

yani ndio itakuwa mukide sasa...kujua tu kua huyu ni member ila jina...kapuni...labda umbambe akiwa anajijeifu...
 
Hizo TShirts mbona zilishawahi kutengezwa hapa JF. Kama una wazo kama hilo jaribu kuwasiliana na mods, usije kutumia jina la JF kujinufanisha wewe kwa mgongo wa wenzako!
 
Hizo TShirts mbona zilishawahi kutengezwa hapa JF. Kama una wazo kama hilo jaribu kuwasiliana na mods, usije kutumia jina la JF kujinufanisha wewe kwa mgongo wa wenzako!

we kweli ni amoeba...hebu soma post uelewe...ulevi noma!...
 
Wazo zuri ila nina angalizo. Mtandao huu unawanyima usingizi wanamagamba na hawaupendi kabisa kwa jinsi tunavyoponda sera zao na kulaani ubabe wao. Halafu tena eti unavaa t-shirt ya JF na kutembea kifua mbele! Askari wa magamba watakuacha utembee kwa raha zako kweli? Hawatasita kukusimamisha na kuuliza yale maswali yao ya ajabuajabu wakianza na:'Wewe ndo chamii folam?'

Mkuu, sisi wengine tunazo kisha tunatinga nazo sehemu yoyote.
 
daaaaah BONGE MOJA LA IDEA.
tena itapendeza zikiwa various t-shirts za majukwaa mfano JF CHTCHT, JF MMU., JF JKS. JF MTNGZ. JF SCNC etc. Iliad tukioteana njiani tujue mdau WA jukwaa gani mwalutende sana
 
mwanangu nikukuta kwenye daladala ntashawishika kukuuliza e bana ww ndo nani kule jukwaani...lol
 
Back
Top Bottom