LuisMkinga
JF-Expert Member
- Jan 10, 2012
- 2,959
- 5,564
...Kwa somo.lako la ujumbe katika picha inaonekana huyo.mwanamke atamsaidia jamaa kuchukua uongozi..Pichani ni rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni akisalimiana na baba yake mzazi Mzee Amos Kaguta kijijini Rwakitura muda mfupi baada ya majeshi ya NRA kuiteka Kampala mwaka 1986.
Kulia ni muhandisi Winnie Byanyima ambae kwa sasa ni mke wa kiongozi wa upinzani Kiza Besige.
Ikumbukwe kuwa kabla ya kuolewa na Besige Winnie Byanyima alikuwa ni hawara wa Museveni wakati walipo kuwa katika vita vya msituni.
#Maktaba YetuView attachment 2027983
Maana jamaa anaungana na baba yake huko alipo na yeye anasonga mbele..
Haya ni maoni kutokana na masomo hapa jf na kauli isichukuliwe vinginevyo..