JF na hii mmeshaiona, full burdani

Inasikitisha kuona watu wakiwa na mitizamo finyu na hata uelewa! Kilichopo hapo kina uhusiano gani na mujahidina? Wangevaa kanzu za kipadre ( zenye marinda na mikanda) bwana Leonardo ungelichukuliaje, tafuta ufahamuzaidi ndugu yangu
 
mwamependeza saaana, kwa kweli jamaa wamejitahidi lazima kukubali hapa ala! wacheni uchimvi humu ahh
 
Back
Top Bottom