Jf members wanao penda ku-flirt PM

afadhali sijakutana na yoyote kati ya hao, kikubwa hakuna ajuae jinsia yangu loh maana siku hizi wanaume moto wanawake moto wanaweza kukutia majaribuni bure, ingawa fundi cherehani kiboko ila nimempenda the naughty one atakufanya u-smile
Na mimi nilicheka sana nilipoambiwa habari za naughts... Bahati yao source yangu haijawataja majina.

Ahsante Cantalisia,

May be kupitia kwako nimuulize RR, ...hivi hizo PM zinatumwa kwa jinsi (sex), ukoo, rangi, kabila au dini fulani? Mie huwa sipati zozote kati ya hizo alizozitaja na mail box yangu haijawahi kufikisha hata PM 30 toka niwe member wa JF???

Hapa kuna jambo Babu hajaelewa kabisa!!
Wapo watu wanalalamika kua capacity ya inbox zao ni ndogo, wanatoka 1000 kwenda 5000, na hata hapo bado wanalalamika kua mara kwa mara wanahitajika kufuta PM. Mi mwenyewe kama wewe, nilifika PM 50 hapa tulipo anza december. lol
 
Zaidi ya PM, kuna kuadd member kama rafiki, then biashara ya kuflirt inaanzia hapo kwenye profile yake kabla ya kuhamia kwenye PM na baadae live kwenye simu.
Mi kwa weli sijaelewa elewa maana ya kum-add mtu kama rafiki. Au ndio unataka kuonekana uko katika network yake?
 
Na mimi nilicheka sana nilipoambiwa habari za naughts... Bahati yao source yangu haijawataja majina.

Wapo watu wanalalamika kua capacity ya inbox zao ni ndogo, wanatoka 1000 kwenda 5000, na hata hapo bado wanalalamika kua mara kwa mara wanahitajika kufuta PM. Mi mwenyewe kama wewe, nilifika PM 50 hapa tulipo anza december. lol

Basi naona sie tunakabiliwa na janga la "use and disuse theory".......

Waache wachezee Mchanga, wakikua wataacha au watacheza salama!!

Hope tutafika lakini.....
 
Kwa kweli nawashukuru sana JFmembers hasa MMU,
Kwan tangu nimejiunga humu,
Nimejengeka na kuimarika kiroho kwa kiwango cha juu sana,
Na hii yote ni kutokana na PM ninazozipata kutoka kwao.
Basi wewe una bahati sana, hakuna members wanakutafuta kwa ku-flirt... ila naskia wapo humu JF...
 
Back
Top Bottom