Jf members wanao penda ku-flirt PM

We Mrusi.........modereta Mkuuwa MMU.

Kwanini unasoma PM zetu?

Kwanini jamani?

Sie tuko busy kutongozana we uko busy kufanya utafiti! Khaa! Hujui MMU ni jukwaa la mapenzi? Na mapenzi si ni kutongozana?

You have been warned!
Hahahaha, Jamani Aspirin mi sijasoma PM bwana, na wala sina uwezo huo. Kama nilivo mjibu The Finest hapo juu nimeambiwa (live, sio kwa PM) kuhusu gia mbali mbali zinazo tumika kuanzisha flirty PM... Did you recognize your style mkuu? :)
 
Babu ODM aint tongoza no body!.......... Na huyo aliyekwambia ni jinsia gani? Kama ni dume lilete nilipeleke kwa dave Cameroon......
 
We endelea kumtongoza sweetlady kwa PM. Nna mpango wa kumfanya mrusi awe nyumba ndogo yangu, ntazisoma tongozo zako zote kulaaleki!
Hii hapa style mpya. hakuna cha PM wala nini, unaanzia tu in the thread... :suspicious:
 
Well, I am still not sure about the question ila nadhani it is clear that I am sharing some funny information and itakua ni mimi nataka kukujuza about my findings... au?

'kutakiwa' kwa Kiswahili sanifu kunahusiana na amri, sharti ama kanuni.

Sasa hapa tunalazimishana kupokea hizi funny information au inakuwaje?
 
'kutakiwa' kwa Kiswahili sanifu kunahusiana na amri, sharti ama kanuni.

Sasa hapa tunalazimishana kupokea hizi funny information au inakuwaje?
Oooooh, now I get your point... Ni kiswahili tu kimechanganya mamaa. ngoja nifanye editing.
 
Haya kwangu ni mageni kabisa..........!!

Ila palipo na wengi obviously patakuwa na mengi.......

Ngoja vijana wajifunze kucheza mchangani kwanza ili wakiingia viwanja halisi wasipanic!!

Babu DC!!
 
Heshima yako RR,
Ktk hizo hapo juu mie sijapata,
Nashukuru mungu huwa napokea zenye mistari ya biblia tu,
Ikizidi sana ni attachiment za makongamano mbali mbali ya kuitangaza injili!!
Basi wewe kama mimi Cantalisa. Napokea za kuwasaidia members tu (Moderation related, sio shida binafsi!)
 
afadhali sijakutana na yoyote kati ya hao, kikubwa hakuna ajuae jinsia yangu loh maana siku hizi wanaume moto wanawake moto wanaweza kukutia majaribuni bure, ingawa fundi cherehani kiboko ila nimempenda the naughty one atakufanya u-smile
 
Heshima yako RR,
Ktk hizo hapo juu mie sijapata,
Nashukuru mungu huwa napokea zenye mistari ya biblia tu,
Ikizidi sana ni attachiment za makongamano mbali mbali ya kuitangaza injili!!

Ahsante Cantalisia,

May be kupitia kwako nimuulize RR, ...hivi hizo PM zinatumwa kwa jinsi (sex), ukoo, rangi, kabila au dini fulani? Mie huwa sipati zozote kati ya hizo alizozitaja na mail box yangu haijawahi kufikisha hata PM 30 toka niwe member wa JF???

Hapa kuna jambo Babu hajaelewa kabisa!!
 
Back
Top Bottom