:( JF inavyo wachanganya watu :(

Nyie hamuwezi kuvumilia shida mnapenda raha tu

si vema ku judge watu juuu juu kiasi hicho ...
na pia huu ni ukandamizaji wa kinjisia ..

Kwa kifupi kila mtu anapenda raha..
lakini si kila mtu amjaliwa kupata hiyo raha..
Raha huja kwa bidii ya mtu , na raha hailetwi
na masomo tu ..

samahani leo na raha zangu naomba tuishie hapa..
weekend njema..:)
 
umewaza nini AD mpaka kuanzisha hii thread? I am glad to say that I am no longer addicted to JF....Wishful thinking eeh! :):)
 
umewaza nini AD mpaka kuanzisha hii thread? I am glad to say that I am no longer addicted to JF....Wishful thinking eeh! :):)

hahahah lol
ntakwambia siku nyingine nliwaza nini lol
ulienda rehab ipi aisee maana na mi nataka kwenda huko
hahahah lol
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Afu hakikisha watu wengine hawauoni, si unajua walivyojawa na mawivu?

usjali babu ntaweka kwenye ile plastick bag ngumu ...
ile yenye rangi ya zambarau...
halafu ntaukumbatia vizuri hakuna
atakae ona kabisa...

Je unataka nilete na miwani au??
 
usjali babu ntaweka kwenye ile plastick bag ngumu ...
ile yenye rangi ya zambarau...
halafu ntaukumbatia vizuri hakuna
atakae ona kabisa...

Je unataka nilete na miwani au??
Hapana miwani usilete, ila unletee mafuta ya kupaka........
 
The roof, the roof,
The roof is on fire,
We don't need no water
Let that motherfakka burn!

NB: Afrodenzi, you are required to give me both "Thanks" and "Like" for this useful post.
 
The roof, the roof,
The roof is on fire,
We don't need no water
Let that motherfakka burn!

NB: Afrodenzi, you are required to give me both "Thanks" and "Like" for this useful post.

hahahahahahahahah lol
aahhhhh mi bora niondoke ..
umenichekesha kwa kweli NN ..
[h=2]The Following User Says Thank You to Nyani Ngabu For This Useful Post:[/h]
afrodenzi (Today)​
 
hahahahahahahahah lol
aahhhhh mi bora niondoke ..
umenichekesha kwa kweli NN ..
The Following User Says Thank You to Nyani Ngabu For This Useful Post:

afrodenzi (Today)​

Good girl.

Because you've been a good girl Santa promises to take you to Disney World!

What's your favorite Disney character? Winnie the Pooh?

And what theme parks and water parks would you like to visit? Let Santa know so he can go ahead and start booking. I know there is the Disney Typhoon Lagoon, Discovery Island Trails, the Cinderella place (I know you will like this one) and many more.
 
si vema ku judge watu juuu juu kiasi hicho ...
na pia huu ni ukandamizaji wa kinjisia ..

Kwa kifupi kila mtu anapenda raha..
lakini si kila mtu amjaliwa kupata hiyo raha..
Raha huja kwa bidii ya mtu , na raha hailetwi
na masomo tu ..

samahani leo na raha zangu naomba tuishie hapa..
weekend njema..:)

Njoo basi tujinafasi sote
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom