Uneonekana huna kazi ya kufanya
Week end njema Ad.duhhh hivi kumbe..
sasa na we umefanya kazi kweli kuni jibu
karibu chit chat..
Dena saita Ama??
sasa hujaleta dawa kutoka Dongobeshi??
Mimi ndio dawaSijajua dawa yake mpaka sasa
Sayuuuu!!!
Usitoe siri hadharani Maza hajakupatia mpaka sasa??
Nakuona unaandaa Birthday (Ukamsahau Dada yako)