:( JF inavyo wachanganya watu :(

khaaaaa ndo nini tena hii jamani ..
inatisha kwa kweli ...

Ukiwa na demu msomi yaani maumivu sasa anamwacha mwenzie kitandani yeye busy FB
Ndo maana ndoa nyingi za wasomi zinavunjika hivi hivi demu yupo busy usiku na cmu eti kwa vile kuna ofa ya tigo kupiga bure kuanzia dk.3 hapo kamwacha mmewe kitandani anaugulia minyege.
 
mmhhhh jamani
unaniumiza na mimi eti khaaa..
Kwa hiyo hunitaki sababu nimesoma..??

Na kweli unadhani hii ndo sababu kubwa ya ndoa kuvunjika??
 
Yaahh
wametuweza kwa kweli loohhh
itabidi to Join A-team ya Infi hahahah lol
maana nyingi "thanx" zilitoka pale
unakumbuka mpaka elfu nne na hahahah lol

Kwa kweli sasa itabidi tupange mpango mzima tuafanya mambo kuna VOR huko anazililia Thanks zake
 
Tena angalau wanaotumia desktop au lap top bt mobile cm duh kwani mpaka kitandani jamani ananibore saana jamaaa
 
Kwa kweli I love JF tka nimejiunga na JF mambo sijui ya upweke hakuna tena, nikienda sehemu nikakuta hakuna wenyeji basi JF inakuwa mwenyeji wangu JFMOBILE hoyeeeeeeeeee
 
Huyo lazima atakuwa Lizzy........

Kadada kangu kale kwa ubishi sijawahi kuona....... nilishawahi kukafumania kanaipiga kwenzi skriin ya blakiberi yake ya mchina.
 
Kwa kweli sasa itabidi tupange mpango mzima tuafanya mambo kuna VOR huko anazililia Thanks zake

hahahah
hata mi nazililia zangu aisee..
itabidi ufumue uzi kama ule tena aisee..
maana naona A-team wako mjini ..hahahha lol
 
Kwa kweli I love JF tka nimejiunga na JF mambo sijui ya upweke hakuna tena, nikienda sehemu nikakuta hakuna wenyeji basi JF inakuwa mwenyeji wangu JFMOBILE hoyeeeeeeeeee

Hoyeeeeeeeeee

Weekend njema my dear :)
 
Huyo lazima atakuwa Lizzy........

Kadada kangu kale kwa ubishi sijawahi kuona....... nilishawahi kukafumania kanaipiga kwenzi skriin ya blakiberi yake ya mchina.

Babu Babu
Shkamoo..
Hata wewe si hutokagi humu ndani babu??..
 
Kamuulize Felista wa King Star Bar kama navyokuwa kaunta bize na bia yangu huwa namkumbuka Maxence........ODM na biya ni sawa na Afrodenzi na JF jukwaa la MMU na Chi Chat
 
No further comments... ( Babu nakutakia kila lakheri weekend hii ) Niko hapa sober driver :)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom