rosemarie
JF-Expert Member
- Mar 22, 2011
- 6,887
- 3,412
jana tulikuwa kanisani kanisa kuu Arusha lutheran,wakati kwaya inaimba nilimwona mtu amekaa benchi la mbele yetu anasoma kitu kwenye simu yake,kutoa macho vizuri kumbe yupo Jamiiforum,kuangalia upande wangu wa kulia nikamwona mwingine naye yupo jamiiforum,kuangalia nyuma yangu nikamwona mwingine tena,,hehehe nilishangaa nikajiuliza Jf inatupeleka wapi???Kazi tunayo!