Jf inatupeleka wapi

rosemarie

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
6,889
3,412
jana tulikuwa kanisani kanisa kuu Arusha lutheran,wakati kwaya inaimba nilimwona mtu amekaa benchi la mbele yetu anasoma kitu kwenye simu yake,kutoa macho vizuri kumbe yupo Jamiiforum,kuangalia upande wangu wa kulia nikamwona mwingine naye yupo jamiiforum,kuangalia nyuma yangu nikamwona mwingine tena,,hehehe nilishangaa nikajiuliza Jf inatupeleka wapi???Kazi tunayo!
 
jf inatupeleka mbinguni. inategemeana na tabia zako.
 
ina maana we ulikwenda kanisani kutizama watu wanafanya nini kwenye simu zao au ulikwenda kusali? we unatofauti gani na hao walio kuwa wana browse JF?
 
sasa kamanda ww ulienda kusali au kuangalia watu? manake unaangalia mbele, kushoto, kulia nyuma nk, kama ww ni ME nafikiri wadada wote warembo wanaoenda kwenye ibada huwa unawaona.

Ukienda kanisani uwe unafumba macho ili u concentrate kwenye maombi manake nafikiri j2 ijayo utakuja hapa la lingine, mara kuna mtu alivaa vibaya.
 
Na pia wewe kitengo cha Sayansi pale Udom wanaweza wakakuhitaji sana kwa ajili ya macho yako yakatumika kufundishia wanafunzi , kwamba sasa kuna Revolution Jicho la Binadamu kuwa na Bolojointi, kwa kuzunguka km la Camelion, maana linageuka jicho tu! Bila kichwa kuzunguka na kua na uwezo wa ku'chabo screen 5 za simu within a second !
Hayo macho usiyatangaze sana! Utavamiwa watu waondoke nayo!
Deal hilo !
 
Mnaoingiaga huko, kwani inakatazwa kusoma kitu fulani kwenye simu au kitu kingine mfano wake panapokuwepo fursa ya kufanya hivyo mtu akiwa kwa church?
 
Na pia wewe kitengo cha Sayansi pale Udom wanaweza wakakuhitaji sana kwa ajili ya macho yako yakatumika kufundishia wanafunzi , kwamba sasa kuna Revolution Jicho la Binadamu kuwa na Bolojointi, kwa kuzunguka km la Camelion, maana linageuka jicho tu! Bila kichwa kuzunguka na kua na uwezo wa ku'chabo screen 5 za simu within a second !
Hayo macho usiyatangaze sana! Utavamiwa watu waondoke nayo!
Deal hilo !

Jg Bro!
umenena!...unakua kwenye mood gani ukitaka kumwaga points kama hizi??
 
jana tulikuwa kanisani kanisa kuu Arusha lutheran,wakati kwaya inaimba nilimwona mtu amekaa benchi la mbele yetu anasoma kitu kwenye simu yake,kutoa macho vizuri kumbe yupo Jamiiforum,kuangalia upande wangu wa kulia nikamwona mwingine naye yupo jamiiforum,kuangalia nyuma yangu nikamwona mwingine tena,,hehehe nilishangaa nikajiuliza Jf inatupeleka wapi???Kazi tunayo!

haitupeleki popote!...mbona tumeshafika!.siku mingi!
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom