Jf Doctors

tbl

Senior Member
Mar 29, 2011
116
41
Hellow, i need help. What does this sentence means "miniaturizing blood sampling in intensive care units for premature babies and adults". Thank u in advance
 
Dah siwezi kuileza kwa kiswahili lakini mpaka umekuja na hili swali u must have some ideas about hematology ... so nita assume wajuwa what is allogenic blood transfusion.

Allogenic blood transfusion inaweza kugawanywa makundi yafuatayo -

. operational , biological , pharamacological

nikirejea kwenye swali lako hiyo method simply ina fall under operational nini maana yake? mkuu sijui nitaelezea vipi kwa kiswahili ama kwa neno moja la kizungu but ni process kama nilivokuelezea hapo juu! start to learn what is Allogeneic blood transfusions ukitiririka nayo vizuri utakuja kukutana na hiyo kitu! MUST iwepo sababu ni muhimu sana!

kama si mvivu wa kusoma vitabu vyenye pages nyingi kuna kitabu cha Postgraduate haematology By A. V. Hoffbrand, Daniel Catovsky fungua page number 269 utakutana na all operational altenavies za Allogeneic blood transfusion.


kipo on google books pia you can access pages from there
http://books.google.com/books?id=RjR0NxrBmVAC&printsec=frontcover#v=onepage&q&f=false

i know sijajibu swali lako... unajuwa sometimes we have answers but hatujui jinsi ya ku express jibu ila nimejitahidi kukuonesha njia za kufika kwenye jibu ili uelewe vizuri.. maybe kuna mtu atakuja kukuelezea vizuri mtu ambae anajua achana na wa copy paste watazidi kukuchanganya, haematology inahitaji umakini kidogo am telling u this through experience ..
 
Back
Top Bottom