Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,639
Mi nipo Arusha lakini sijapokelewa hivyo usiwapongeze
Labda hujataka kupokelewa...........
Mi nipo Arusha lakini sijapokelewa hivyo usiwapongeze
Unataka ujue kuwa hata Mamndenyi anaujua utajiri wako?
Mamndenyi ni ndege huyu anayeruka mwenye damu na macho na nyama au unamaanisha nini
Ni kweli mimi nafuga njiwa wengi tuu kama ni hao kweli ninao wengi sana
Nina wasiwasi huo kuwa may be unaujua utajiri wa kumiliki boda boda na daladala kadhaa Mamndenyi ila sio umilionea
chadema hureeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeHongereni JF members wa Arusha. Ingawa kuna mapungufu yenu kama kuishabikia CHADEMA, lakini kwa hili nawapa Thumb up.
Umenisusa, nyama ya mbuzi uliyoniahidi sijakutia machoni. Mpaka ukute nimejifungua ndiyo ufurahi kubeba mtoto?? Nikikukamata (utanibeba mgongoni).
Cantalisia hujambo
Mambo ya Atown bana yaache kama yalivyo ila ukija tena hata PM bana tuambizane
Hahaha.........sijui unapataga hayo maneno.Hongereni JF members wa Arusha. Ingawa kuna mapungufu yenu kama kuishabikia CHADEMA, lakini kwa hili nawapa Thumb up.
am here to stay 2!!FYI Mr Rocky, huyu Cantalisia yuko hapahapa....she's here to stay.
Hongereni JF members wa Arusha. Ingawa kuna mapungufu yenu kama kuishabikia CHADEMA, lakini kwa hili nawapa Thumb up.
Cantalisia karibu sana
nasi twashukuru sana kwa uwepo wako katika zizi la kondoo
salam zitamfikia dada mkubwa
ile kofia ya radio isikutishe
cc. Arushaone