JF Arusha Members hakika ni zaidi ya nilivowadhania............

hapana mkuu wangu Nyani Ngabu
ndo maana huwezi sikia hata kwenye vikao kama hivi nipo maana wanaalikana mabilionea sasa sisi wenye kugongea bia na nyama choma aise huwezi kualikwa

Basi subiri ufe maana lazima watakuja kuandika hapa 'bilionea mwingine wa Arusha na memba maarufu wa JF afariki kwa ajali ya gari':)
 
Ni mmoja kati ya wale wamiliki ndege binafsi;
jaza mwenyewe kama ni bili au ni mili au trili
Mamndenyi ni ndege huyu anayeruka mwenye damu na macho na nyama au unamaanisha nini
Ni kweli mimi nafuga njiwa wengi tuu kama ni hao kweli ninao wengi sana

Na madarasa yenyewe ndo hivyo hivyo nitapajulia wapi
hapo kwenye redi mie.

Muulize Nyani Ngabu ni wapi anapajua sana njia ya Shinyanga- Mwanza
Kijiji kimojawapo kimechangamka sana kwenye hiyo barabara na usiku huwa malori yanapaki hapa maana hayaruhusiwi kwenda zaidi kutokana na wasi wasi wa kuvamiwa na majambazi
 
Last edited by a moderator:
binamu wanakusumbua hao achana nao wakitaka waje home kwako wakuone km wewe ni milionea au bilionea
ladyfurahia asante sana aise kwa kunipa moyo
Uko salama lakini aise Ngalikihinja katibu sana mjini mkuu
Umekuja kimya kimya hutaki watu wajue mkuu Cantalisia hiyo safi sana tutatafutana bana na ni vizuri kuwa mmoja wetu hapa mjini
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom