Jezi zilizokamatwa sio feki ni michezo ya Kariakoo, Sandaland kazidiwa maarifa

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
269,638
697,929
Labda tunaweza kuziita feki (bandia) kutokana na ubora usiokidhi viwango.. Lakini kubwa ni kwamba mwenye dhamana ya kuziagiza hajatoa kibali kwa mwingine yoyote kuagiza kusambaza na kuuza

Kilichotokea Kariakoo ni uleule umafia ubabe na ushushushu wa biashara za pale mahali unaofanywa na ma tycoon, madon na makontawa wenye pesa zao ndefu na wenye connection mpaka ndani kama sio juu kabisa
Hawa ma tycoon na madon wana nyoka wao mashushushu wanaowaletea taarifa kila bidhaa mpya ama ya msimu inapokamata soko.. Na hawa hucheza na timing ya Mwenye mzigo husika. Wao wanachotaka ni sample tu ya mzigo halisi ama soft copy yake

Wewe mwenye mzigo wako unapopanda ndege uende ukaandae oda yako izalishwe wenzako wanakuwa wameshafikisha kila kitu huko kupitia nyoka wao walioko huko

Kwenye hizi biashara kubwa za Kariakoo zinazotegemea kuzalishwa kwa oda huko nje kuchelewa siku moja tuu umechelewa mno! Kwahiyo unapofika huko (mostly China) kuelewana bei mpaka kuanza uzalishaji unaweza kuchukua si chini ya siku mbili ukijumlisha na mbili za safari ni siku nne

Huo ni muda mwingi mno kwa waliokwisha kutangulia... Kwahiyo kwa kila hatua wewe utaachwa nyuma si chini ya wiki moja

Huku ukiwa hujui kinachoendelea unafanya fasta ili ukawe wa kwanza kuingiza mzigo sokoni lets say container za ko 3 au 4 hivi!.. Wakati mzigo wako umefika bandarini unajiandaa kuutoa mara unapata taarifa ama unaona mzigo kama huo huo tayari uko sokoni tena kwa bei poa zaidi..

Umeingiza container 4 mwenzako kaingiza 10 na kashaweka mzigo sokoni.. Usipokuwa na roho ngumu unaweza kujinyonga! Sasa hapo uchaguzi ni wako uuze sawa na yeye, au umuuzie yeye mzigo wote kwa bei atakayokupangia ama ubaki na mzigo wako ukudodee.. Hiki kwa vyovyote ndio kilichompata Sandaland lakini yeye pengine kakataa unyonge kaamua kukisanua!

Maswali muhimu sana!
1. JE WAHUSIKAN WATACHUKULIWA SHERIA?
2. Je mzigo utataifishwa na kuharibiwa?
3. Je mzigo utauzwa kwenye mnaba na kuachwa uingie sokoni?

Swali namba 1.
Mpaka sasa mamlaka akiwemo Sandaland mqenyewe wameshikwa na kigugumizi kumtaja mhusika! Hili si gumu na halihitaji uchunguzi mkubwa kwakuwa mzigo umeagizwa kupitia nyakara zote halali
Bank account
Jina la muagizaji
Mahali mzigo unapoenda
TIN ninja.. Sasa kuna uzito gani kumuweka wazi mhalifu?

Swali no 2
Je mzigo utataifishwa na kuharibiwa? Hapa kesi ikienda mahakamani pengine kunaweza kujitokeza mambo ya hakimiliki na patent copyright .. Kama ikithibitika mzigo hauna nyaraka halali za umiliki na malighafi iliyotumika ni chini ya viwango kuna uwezekano mkubwa mzigo kutaifishwa na kuteketezwa

Swali no 3
Je utauzwa kwenye mnada na kuachwa uingie sokoni?
Hapa hili linaweza kutokea kama ikithibitika material iliyotumika ni bora inakidhi viwango ila tu kuna shida kwenye nyaraka za umiliki (patent copyright)
Hapa kuna mengi
Mwenyezi patent copyright anaweza kupewa haki ya kuununua mzigo na kama akishindwa ukauzwa kwa mnada kwa mwenye uwezo

Hiki ndio kinasubiriwa na hao madon.. Kwasasa wako kimya wanasoma mchezo huku wakicheza michezo nyuma ya pazia..
Hii ni mojawapo ya sinema za kuvutia kariakoo kama ile ya vitenge na ni ngumu kutabiri mwisho wake

Je sterling atakufa? Usikose part 2

Zaidi soma: Umafia, ubabe na ujasusi wa biashara za Kariakoo | Page 18 Umafia, ubabe na ujasusi wa biashara za Kariakoo
mqdefault%20(1).jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Labda tunaweza kuziita feki (bandia) kutokana na ubora usiokidhi viwango.. Lakini kubwa ni kwamba mwenye dhamana ya kuziagiza hajatoa kibali kwa mwingine yoyote kuagiza kusambaza na kuuza
Kilichotokea kariakoo ni uleule umafia ubabe na ushushushu wa biashara za pale mahali unaofanywa na ma tycoon, madon na makontawa wenye pesa zao ndefu na wenye connection mpaka ndani kama sio juu kabisa
Hawa ma tycoon na madon wana nyoka wao mashushushu wanaowaletea taarifa kila bidhaa mpya ama ya msimu inapokamata soko.. Na hawa hucheza na timing ya Mwenyezi mzigo husika. Wao wanachotaka ni sample tu ya mzigo halisi ama soft copy yake
Wewe mwenye mzigo wako unapopanda ndege uende ukaandae oda yako izalishwe wenzako wanakuwa wameshafikisha kila kitu huko kupitia nyoka wao walioko huko

Kwenye hizi biashara kubwa za Kariakoo zinazotegemea kuzalishwa kwa oda huko nje kuchelewa siku moja tuu umechelewa mno! Kwahiyo unapofika huko (mostly China) kuelewana bei mpaka kuanza uzalishaji unaweza kuchukua si chini ya siku mbili ukijumlisha na mbili za safari ni siku nne
Huo ni muda mwingi mno kwa waliokwisha kutangulia... Kwahiyo kwa kila hatua wewe utaachwa nyuma si chini ya wiki moja
Huku ukiwa hujui kinachoendelea unafanya fasta ili ukawe wa kwanza kuingiza mzigo sokoni lets say container za ko 3 au 4 hivi!.. Wakati mzigo wako umefika bandarini unajiandaa kuutoa mara unapata taarifa ama unaona mzigo kama huo huo tayari uko sokoni tena kwa bei poa zaidi..

Umeingiza container 4 mwenzako kaingiza 10 na kashaweka mzigo sokoni.. Usipokuwa na roho ngumu unaweza kujinyonga! Sasa hapo uchaguzi ni wako uuze sawa na yeye, au umuuzie yeye mzigo wote kwa bei atakayokupangia ama ubaki na mzigo wako ukudodee.. Hiki kwa vyovyote ndio kilichompata Sandaland lakini yeye pengine kakataa unyonge kaamua kukisanua!

Maswali muhimu sana!
1. JE WAHUSIKAN WATACHUKULIWA SHERIA?
2. Je mzigo utataifishwa na kuharibiwa?
3. Je mzigo utauzwa kwenye mnaba na kuachwa uingie sokoni?

Swali namba 1.
Mpaka sasa mamlaka akiwemo Sandaland mqenyewe wameshikwa na kigugumizi kumtaja mhusika! Hili si gumu na halihitaji uchunguzi mkubwa kwakuwa mzigo umeagizwa kupitia nyakara zote halali
Bank account
Jina la muagizaji
Mahali mzigo unapoenda
TIN ninja.. Sasa kuna uzito gani kumuweka wazi mhalifu?

Swali no 2
Je mzigo utataifishwa na kuharibiwa? Hapa kesi ikienda mahakamani pengine kunaweza kujitokeza mambo ya hakimiliki na patent copyright .. Kama ikithibitika mzigo hauna nyaraka halali za umiliki na malighafi iliyotumika ni chini ya viwango kuna uwezekano mkubwa mzigo kutaifishwa na kuteketezwa

Swali no 3
Je utauzwa kwenye mnada na kuachwa uingie sokoni?
Hapa hili linaweza kutokea kama ikithibitika material iliyotumika ni bora inakidhi viwango ila tu kuna shida kwenye nyaraka za umiliki (patent copyright)
Hapa kuna mengi
Mwenyezi patent copyright anaweza kupewa haki ya kuununua mzigo na kama akishindwa ukauzwa kwa mnada kwa mwenye uwezo

Hiki ndio kinasubiriwa na hao madon.. Kwasasa wako kimya wanasoma mchezo huku wakicheza michezo nyuma ya pazia..
Hii ni mojawapo ya sinema za kuvutia kariakoo kama ile ya vitenge na ni ngumu kutabiri mwisho wake

Je sterling atakufa? Usikose part 2

Zaidi soma: Umafia, ubabe na ujasusi wa biashara za Kariakoo | Page 18 Umafia, ubabe na ujasusi wa biashara za KariakooView attachment 2794379

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo kizamani na kijinga sana, tuulize wazaliwa wa Kariakoo tukufahamishe michezo ya mjini.
 
Back
Top Bottom