Jezi za Taifa stars

Wanajamvi juzi kati nlikua nipo naperuzi tu net nkaona picha ya jezi mpya ya taifa stars yenye logo ya adidas tofauti na ile ya uhlsport tafadhari mwenye picha ya iyo jezi ikionekana vizur afanye aiweke apa...
Hii jezi ya adidas ni ya msaada tumepokea kwa ushirikiano wa CAF/FIFA na adidas. Muda si mrefu tutakuwa na jezi yetu wenyewe.
 
Hii jezi ya adidas ni ya msaada tumepokea kwa ushirikiano wa CAF/FIFA na adidas. Muda si mrefu tutakuwa na jezi yetu wenyewe.

yenu wenyewe kivipi?? design??logo[sio adidas sio nike]?? au kivipi?? mnaweza kuwa na design yenu wenyewe lakini manufacturer akawa adidas/nike/puma
 
Hii jezi ya adidas ni ya msaada tumepokea kwa ushirikiano wa CAF/FIFA na adidas. Muda si mrefu tutakuwa na jezi yetu wenyewe.

Swadakta Mtani na Wala Sina Mashaka Na Wewe ktk Uongozi Wako Hapo TFF na Nina Uhakika Utafanya Kitu Kilicho Bora Haswa ktk Soka Letu Na Ukinizungua Tu Wala Sitopata Taabu Ya Kukupata Kwani Nitafunga Safari Hadi Kwa Watani Zangu Mkoani Kagera Kukutafuta Na Kukushtaki ktk Ile Migomba Yenu.................................!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Hii jezi ya adidas ni ya msaada tumepokea kwa ushirikiano wa CAF/FIFA na adidas. Muda si mrefu tutakuwa na jezi yetu wenyewe.

ni sawa japo kuna ukakasi lakini lazima tukubali kuliwa ndio tule, picha ninayopata hapa ni kwamba walikua na decision making hata kwenye muonekano
 
Back
Top Bottom