street messayah
Member
- Jul 19, 2011
- 18
- 1
Wanajamvi juzi kati nilikuwa nipo naperuzi tu net nikaona picha ya jezi mpya ya taifa stars yenye logo ya Adidas tofauti na ile ya Uhlsport.
Tafadhari mwenye picha ya hiyo jezi ikionekana vizuri afanye kuiweka hapa.
****************************
https://www.jamiiforums.com/sports/...-taifa-stars-chini-ya-udhamini-wa-adidas.html
Tafadhari mwenye picha ya hiyo jezi ikionekana vizuri afanye kuiweka hapa.
****************************
https://www.jamiiforums.com/sports/...-taifa-stars-chini-ya-udhamini-wa-adidas.html