danhosnoop
JF-Expert Member
- Oct 21, 2014
- 2,721
- 10,523
Wakuu kama kuna mtu anajua wilaya yoyote mkoani huko ambako bado mchakato unaendelea kufanyika naomba tujuzane
Missing you...sana...Mmmmh, Leo mambo kinondoni yalikua magumu sn, Mrejesho kamili kesho, usiku mwema jamani
Miss u more darling, hulali Mdogo wngMissing you...sana...
Ndio naamka now...leo nitakuwa mlinziMiss u more darling, hulali Mdogo wng
Hahahahaha, haya tulindeNdio naamka now...leo nitakuwa mlinzi
Mpya: matokeo ya mbio za jana viwanja vya udsm kwa wilaya ya ubungo yafutwa yote, na mkuu wa wilaya ametangaza kua zoezi linarudiwa upya jumapili hii saa 12 asubuhi.
Hatua hiyo imechkuliwa baada ya kubainika kua watu wengine walikodi ndondo zije kuwakimbilia, huku wengine wakiwa wamekimbia na kushinda ilihali hawakupitia michakato ya awali
Hahahaa, nimechelewa kuiona mkuu. Ningekuja kweli leo alfajiriMkuu...
Karibu kesho alfajiri Viwanja vya UDSM tufanye Jogging...
Mie ndio huwa chimbo langu la mazoezi kila Jmosi na Jpili asubuhi mapema sana.
Huwa nazunguka roundi 15 hivi (sio za kushindana lakini) kisha nafanya mazoezi ya viungo na wachina pale narudi getto Msewe.
Njoo kesho upashe mkuu, usije Jpili ukalala tena kwenye miarobaini... Shauri yako.
Watu mnahangaika kukimbia round kadhaa uwanjani mnaenda makambini mnatumikia maisha ya uzalendo kumwagilia maua kupanga mawe kubeba vifusi mara baada ya siku 3 intro kufunguliwa unaona baba kanituma wanakuja mnaanza nao kama kawaida wakati huo nyie mshapigika hadi mkafanana hadi haieleweki huyu ni mwanamke au mwanaumeMpya: matokeo ya mbio za jana viwanja vya udsm kwa wilaya ya ubungo yafutwa yote, na mkuu wa wilaya ametangaza kua zoezi linarudiwa upya jumapili hii saa 12 asubuhi, na wahusika wote wanatakiwa kuja na vyeti vyao kwa ajili ya uhakiki hapo viwanjani, kwa wale watakaoshinda katika mbio hizo.
Hatua hiyo imechkuliwa baada ya kubainika kua watu wengine walikodi ndondo zije kuwakimbilia, huku wengine wakiwa wamekimbia na kushinda ilihali hawakupitia michakato ya awali pamoja na ya kupima afya. Hivyo wanaotakiwa kushiriki mbio hizo ni wale watu 404 ambao walifanikiwa kupata majibu mazuri ya vipimo vya afya. Watakaoshinda siku hiyo moja kwa moja watapelekwa mkoani siku ya jumatatu.
Uamuzi huo uliibua malalamiko ya hapa na pale miongoni mwa washindi wa jana, ila mkuu wa wilaya mbele ya kamati ya ulinzi na usalama wilaya akasema uamuzi ushatolewa, na anaejiona hayuko interested tena abaki nyumbani
mkuu hvi bdo wapo hao baba kantumaWatu mnahangaika kukimbia round kadhaa uwanjani mnaenda makambini mnatumikia maisha ya uzalendo kumwagilia maua kupanga mawe kubeba vifusi mara baada ya siku 3 intro kufunguliwa unaona baba kanituma wanakuja mnaanza nao kama kawaida wakati huo nyie mshapigika hadi mkafanana hadi haieleweki huyu ni mwanamke au mwanaume
Tetesi zilizopo mwaka huu no baba kantuma wala mama kantumamkuu hvi bdo wapo hao baba kantuma
Hizo zitabaki kuwa tetesi mkuu,ila baba kanituma ni kama paiTetesi zilizopo mwaka huu no baba kantuma wala mama kantuma
Jeshini hicho sio kitu cha kuuliza..mkuu hvi bdo wapo hao baba kantuma
Wilayani ukipita kwa vigezo vyao muumbe mungu sana maana kwa asilimia kubwa pale ni vimemo tuu hutumikaUku wilayani rushwa imetawala ili kupata hizo nafas