Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) limetangaza nafasi za kujiunga na mafunzo kwa wakujitolea, 2017

Mpya: matokeo ya mbio za jana viwanja vya udsm kwa wilaya ya ubungo yafutwa yote, na mkuu wa wilaya ametangaza kua zoezi linarudiwa upya jumapili hii saa 12 asubuhi, na wahusika wote wanatakiwa kuja na vyeti vyao kwa ajili ya uhakiki hapo viwanjani, kwa wale watakaoshinda katika mbio hizo.
Hatua hiyo imechkuliwa baada ya kubainika kua watu wengine walikodi ndondo zije kuwakimbilia, huku wengine wakiwa wamekimbia na kushinda ilihali hawakupitia michakato ya awali pamoja na ya kupima afya. Hivyo wanaotakiwa kushiriki mbio hizo ni wale watu 404 ambao walifanikiwa kupata majibu mazuri ya vipimo vya afya. Watakaoshinda siku hiyo moja kwa moja watapelekwa mkoani siku ya jumatatu.
Uamuzi huo uliibua malalamiko ya hapa na pale miongoni mwa washindi wa jana, ila mkuu wa wilaya mbele ya kamati ya ulinzi na usalama wilaya akasema uamuzi ushatolewa, na anaejiona hayuko interested tena abaki nyumbani
 
ukaguzi huendelea baada ya watu kufika makambini? na je huwa vyeti vinahusika
 
Mpya: matokeo ya mbio za jana viwanja vya udsm kwa wilaya ya ubungo yafutwa yote, na mkuu wa wilaya ametangaza kua zoezi linarudiwa upya jumapili hii saa 12 asubuhi.
Hatua hiyo imechkuliwa baada ya kubainika kua watu wengine walikodi ndondo zije kuwakimbilia, huku wengine wakiwa wamekimbia na kushinda ilihali hawakupitia michakato ya awali

Mkuu...
Karibu kesho alfajiri Viwanja vya UDSM tufanye Jogging...
Mie ndio huwa chimbo langu la mazoezi kila Jmosi na Jpili asubuhi mapema sana.
Huwa nazunguka roundi 15 hivi (sio za kushindana lakini) kisha nafanya mazoezi ya viungo na wachina pale narudi getto Msewe.

Njoo kesho upashe mkuu, usije Jpili ukalala tena kwenye miarobaini... Shauri yako.
 
Hahahaa, nimechelewa kuiona mkuu. Ningekuja kweli leo alfajiri
 
Mpya: matokeo ya mbio za jana viwanja vya udsm kwa wilaya ya ubungo yafutwa yote, na mkuu wa wilaya ametangaza kua zoezi linarudiwa upya jumapili hii saa 12 asubuhi, na wahusika wote wanatakiwa kuja na vyeti vyao kwa ajili ya uhakiki hapo viwanjani, kwa wale watakaoshinda katika mbio hizo.
Hatua hiyo imechkuliwa baada ya kubainika kua watu wengine walikodi ndondo zije kuwakimbilia, huku wengine wakiwa wamekimbia na kushinda ilihali hawakupitia michakato ya awali pamoja na ya kupima afya. Hivyo wanaotakiwa kushiriki mbio hizo ni wale watu 404 ambao walifanikiwa kupata majibu mazuri ya vipimo vya afya. Watakaoshinda siku hiyo moja kwa moja watapelekwa mkoani siku ya jumatatu.
Uamuzi huo uliibua malalamiko ya hapa na pale miongoni mwa washindi wa jana, ila mkuu wa wilaya mbele ya kamati ya ulinzi na usalama wilaya akasema uamuzi ushatolewa, na anaejiona hayuko interested tena abaki nyumbani
Watu mnahangaika kukimbia round kadhaa uwanjani mnaenda makambini mnatumikia maisha ya uzalendo kumwagilia maua kupanga mawe kubeba vifusi mara baada ya siku 3 intro kufunguliwa unaona baba kanituma wanakuja mnaanza nao kama kawaida wakati huo nyie mshapigika hadi mkafanana hadi haieleweki huyu ni mwanamke au mwanaume
 
mkuu hvi bdo wapo hao baba kantuma
 
Back
Top Bottom