danhosnoop
JF-Expert Member
- Oct 21, 2014
- 2,721
- 10,523
Ni serious kweli mkuu, na lengo kubwa ni kuchuja watu hasa hizi wilaya zenye watu wengiUnajua mm hilo la kukimbia siamin, hivi mpo serious?
Ni serious kweli mkuu, na lengo kubwa ni kuchuja watu hasa hizi wilaya zenye watu wengiUnajua mm hilo la kukimbia siamin, hivi mpo serious?
haaha.... unawatolea nje mkuuHahahaha, huko ntakua nshapata mwingine naamini
Utaweza kunisubiria mwaka mzima??haaha.... unawatolea nje mkuu
Nani kasema unaweza kaa mwaka mkuu... ule unaweza kaa miezi 6...mwaka....mwaka na nusu.... miaka2 mpaka 3.....Utaweza kunisubiria mwaka mzima??
Wee unasemaje, utasubiri??Nani kasema unaweza kaa mwaka mkuu... ule unaweza kaa miezi 6...mwaka....mwaka na nusu.... miaka2 mpaka 3.....
Ni jinsi tu utakavyokuwa na bahati mkuu....
Njoo PM mkuuWee unasemaje, utasubiri??
Umeanzisha sasa unakimbiaNjoo PM mkuu
Na wanatakiwa wangap???Temeke mchujo wa kwanza umefanyika kati ya watu elfu 3 wamepita watu elfu 1 na bado kesho kuna mchujo mwingine kuendelea saa moja kamili asubuhi
Waliychaguliwa walikuwa wangap
usijali nakuombea upite mimi nimeamua kukaa mtaani kwanza
Hapana mkuu ila n vzr ukawa na bukta maana inakupa wepes kwene kufungua miguu....Vipi upande wa mavazi mkuu, ni lazima bukta?
Mkuu naomba namba za aliyekutumia hizi picha tafadhali
Duuh mkuu alienitumia hzo pics ni rafiki angu na yy katumiwa aiseeMkuu naomba namba za aliyekutumia hizi picha tafadhali
Mkuu imekuaje?Mchujo wa temeke sio poa
Hahha ngoja KIXI aje akujibu mkuu maana sio poa mkuuMkuu imekuaje?
Hahaha najikuta nacheka kama mazury duuuh mtihani kwa kweli mtu ata akishaipata iyo nafas ya uko jkt kazi imepita na apo kuna kudima tena uko mpaka kuipata iyo ajira ya kikosi mtu anachotaka kujiunga nacho ni safari ndefu kwa kweli tumuombe M/Mungu tu atufanyie wepesiHahha ngoja KIXI aje akujibu mkuu maana sio poa mkuu