Padri Mcharo
JF-Expert Member
- Feb 28, 2015
- 1,899
- 3,671
Kw diploma tulikuepo pale udsm tulikua 75 round za kuzunguka uwanja zilikua 12 uwezo wako wa kukata upepo ndo utakao kuokoa
Kubabake....
Sasa mbona huyo highness long anamdanganya danhosnoop kuwa ni raundi 8 kumbe ni 12....
Ngoja kesho danhosnoop akafie uwanjani pale.... Raundi ya 3 tu chali.
Mzunguko wa lile pitch sio wa kitoto...
Watu wanakufaga pale... Jana kafa mmoja.