Jerry Murro aukumbuka Uandishi wa Habari

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,789
218,420
Akizungumza na Clouds TV , Mkuu wa Wilaya aliyestaafu kwa mujibu wa sheria , Mh Jerry Murro amesema kwamba , anamiss sana mambo ya uandishi wa habari na hasa habari za Uchunguzi .

Akizungumza kwa unyenyekevu huku akionekana afya yake imeporomoka kidogo , lakini akiwa bado na uso wenye Bashasha , amemwambia Gadner G Habash kwamba , kwenye hii ripoti ya CAG lazima angeibuka na Makala ya Uchunguzi

Nimefarijika sana kumsikia Jerry Murro akiongea kwa upole namna hii , kumbe kila jambo linawezekana .

Toa Maoni yako
 
Amestafu kwa mujibu wa Sheria? 🤣 Sheria ipi hiyo labda ntajifunza kitu
 
Akizungumza na Clouds TV , Mkuu wa Wilaya aliyestaafu kwa mujibu wa sheria , Mh Jerry Murro amesema kwamba , anamiss sana mambo ya uandishi wa habari na hasa habari za Uchunguzi .

Akizungumza kwa unyenyekevu huku akionekana afya yake imeporomoka kidogo , lakini akiwa bado na uso wenye Bashasha , amemwambia Gadner G Habash kwamba , kwenye hii ripoti ya CAG lazima angeibuka na Makala ya Uchunguzi

Nimefarijika sana kumsikia Jerry Murro akiongea kwa upole namna hii , kumbe kila jambo linawezekana .

Toa Maoni yako
Enzi ya ufalme imeporomoka
 
Amezuiwa na nani kufanya uchunguzi? apeleke huko ujinga wake
 
Akizungumza na Clouds TV , Mkuu wa Wilaya aliyestaafu kwa mujibu wa sheria , Mh Jerry Murro amesema kwamba , anamiss sana mambo ya uandishi wa habari na hasa habari za Uchunguzi .

Akizungumza kwa unyenyekevu huku akionekana afya yake imeporomoka kidogo , lakini akiwa bado na uso wenye Bashasha , amemwambia Gadner G Habash kwamba , kwenye hii ripoti ya CAG lazima angeibuka na Makala ya Uchunguzi

Nimefarijika sana kumsikia Jerry Murro akiongea kwa upole namna hii , kumbe kila jambo linawezekana .

Toa Maoni yako
Alistafu lini?
 
Back
Top Bottom