Jenerali Ulimwengu: Hakuna sheria inayozuia mikutano ya kisiasa. Askari waanze kulipa fidia kwa hasara wanazosababisha

Umelegezwa nati wewe...chama cha siasa chochote kina main Objective take. .. KUFANYA SIASA...sio kampein...kushawishi sera..kutoa takwimu zake kinafanya nn..kimefanyann
Kwa kiongozi (mfano Mbowe) kuzunguuka nchi nzima kuhutubia ubora wa sera za CDM na udhaifu wa Magufuli (CCM) hiyo ni kampeni. Muda wake haujafika.
 
Ulimwengu hayupo sahihi kusema kuwa hakuna sheria inayozuia aina fulani ya mihadhara au mikutano ya siasa.

Tanzania inayo sheria ya UCHAGUZI inayoeleza ni wakati gani wa kufanya kampeni za kichama za uchaguzi. Hii mihadhara yenye maudhui ya kampeni za kisiasa katika kuwania nafasi za uongozi inakatazwa isipokuwa katika kipindi mahsusi cha kampeni za uchaguzi.

Hakuna kiongozi wa kisiasa aliezuiliwa kufanya mikutano kwenye jimbo lake. Infact wengi huita press conferences au huandika kwenye mitandao ya kijamii na maudhui yake yanawalenga Watanzania wote.

Lakini kuhamasisha wananchi nchi nzima (mfano, UKUTA) kuwataka wampinge Rais (dikteta uchwara) ni aina ya kampeni za kisiasa, na kwa bahati mbaya sheria iko wazi ni kipindi gani wanaweza kufanya hivyo.
Hivi wewe upo Tanzania au nje ya Nchi?
 
hawa wazee sasa wametuchosha sasa hivi kila mstaafu ni mwanaharakati.
huyu aliwahi kuhojiwa uraia wake na serikali ya awamu ya tatu.

Akiwa na kina marehemu John rutayisingwa,Marehemu Muhingo rweyemamu,Johnson bwire na wengineo ndio waliokuwa wakimiliki Habari corporation ambayo ilikuwa ikichapisha magazeti ya RAI,MTANZANIA,MWANASPOTI na mengineyo.
haya yalizoeleka na yalikubalika sana kwa wakati ule..
lakini katika hali ya kushangaza yaliuzwa kwa Rostam aziz(gwiji wa mtandao uliokuwa nyuma ya Lowassa na kikwete)hii ilikuwa ni muda mfupi kabla ya harakati za kampeni na hatimae uchaguzi uliomweka kikwete madarakani,huku waziri mkuu akiwa ni Lowassa.
Baada ya hapo j-ulimwengu akaibuka na RAIA MWEMA gazeti ambalo lipo mpaka sasa.
na ikumbukwe huko nyuma j-ulimwengu aliwahi kuwa kada mzuri wa ccm enzi za mwalimu na cheo cha mwisho alikuwa DC wa wilaya fulani ndani ya Dar es salaam.

Lakini pia ikumbukwe pia baada ya Rostam kutimkia huko ughaibuni inaaminika vyombo vyake vya habari alivyokuwa akivimiliki viko chini ya Lowassa kwa sasa.
na tukiangalia mtiririko wa baadhi ya vyombo vya habari kwa sasa vinaripoti kama vile kuna hiden agenda dhidi ya serikali na serikali inapochukua hatua kudhibiti hali hiyo,basi utasikia wanaharakati wanaporomoka kutoka kusikojulikana na kutoa mapovu ya kutosha ili tu kuwaridhisha wafadhili wanaowapa fedha za uendeshaji taasisi zao.

Je ulimwengu naye yuko upande upi?

UANDISHI?;UANAHARAKATI?
au UANASIASA?
Ukishaamini kwamba wenzako wana mabwana zao, basi na wewe una bwana wako. Shida ya watanzania ni unafiki na propaganda tuu,
 
Ajabu ya hiyo sheria unayoisema, inazuia vyama fulani tu.
Kama unazungumzia mihadhara ya Magufuli (CCM) nchi nzima ni kuwa ana haki ya kufanya hivyo kama Rais.

Na anachokifanya Polepole hakina tofauti na mikutano anayofanya Zitto. Hakuna shida ya kukinadi chama chako.
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Tusiangalie ni magazeti mangapi yamefungiwa na serikali bali tuangalie ni magazeti mangapi yaliyopotoka kanuni za uandishi!
huo ndio ukweli halisi ahsante kwa kuliona hili muhimu kwa sasa ambapo siasa za majitaka zinelekea kuhamia kwenye baadhi ya media.
Ukishaamini kwamba wenzako wana mabwana zao, basi na wewe una bwana wako. Shida ya watanzania ni unafiki na propaganda tuu,
 
Ulimwengu hayupo sahihi kusema kuwa hakuna sheria inayozuia aina fulani ya mihadhara au mikutano ya siasa.

Tanzania inayo sheria ya UCHAGUZI inayoeleza ni wakati gani wa kufanya kampeni za kichama za uchaguzi. Hii mihadhara yenye maudhui ya kampeni za kisiasa katika kuwania nafasi za uongozi inakatazwa isipokuwa katika kipindi mahsusi cha kampeni za uchaguzi.

Hakuna kiongozi wa kisiasa aliezuiliwa kufanya mikutano kwenye jimbo lake. Infact wengi huita press conferences au huandika kwenye mitandao ya kijamii na maudhui yake yanawalenga Watanzania wote.

Lakini kuhamasisha wananchi nchi nzima (mfano, UKUTA) kuwataka wampinge Rais (dikteta uchwara) ni aina ya kampeni za kisiasa, na kwa bahati mbaya sheria iko wazi ni kipindi gani wanaweza kufanya hivyo.

Tuwekee hiyo sheria hapa jukwaani tuelimike
 
Kama unazungumzia mihadhara ya Magufuli (CCM) nchi nzima ni kuwa ana haki ya kufanya hivyo kama Rais.

Na anachokifanya Polepole hakina tofauti na mikutano anayofanya Zitto. Hakuna shida ya kukinadi chama chako.
Kuna shida kubwa katika demokrasia yetu kwa sasa. Tunaweza kutafuta sababu nzuri za kupamba kinachoendelea, lakini hiyo haitasaidia taifa hili. Ile speech ya Kikwete kule SA kuhusu vyama vya upinzani ni relevant sana.
 
Ukishaamini kwamba wenzako wana mabwana zao, basi na wewe una bwana wako. Shida ya watanzania ni unafiki na propaganda tuu,
sisi wengine tupo na tuna kumbukumbu halisi za historia ya nchi hii na hatubadilishiwi gear angani.

wewe na wenzako BAVICHA hamkai mkafikiri nje ya box
mnajibu hoja nzito kwa matusi na dharau?

Je huo ndio u-think bigger wenu?

mabingwa wa matusi kama vile hamna wazazi.
 
Acha kuongea ovyo wewe yule anayekaa magogoni unapajua kwao ni wapi? Nenda pale bukoba mjini watakwambia
taja shule alizosomea jenerali ulimwengu?

na nenda buzuluga mwanza wakuambie alivyofikia pale miaka hiyo akiwa na mama yake(R.I.P).
 
Kuna shida kubwa katika demokrasia yetu kwa sasa. Tunaweza kutafuta sababu nzuri za kupamba kinachoendelea, lakini hiyo haitasaidia taifa hili. Ile speech ya Kikwete kule SA kuhusu vyama vya upinzani ni relevant sana.
leo anakuwa shujaa kikwete?

lakini enzi zile mkimuita vasco da gama looh chagadema bwana
tapatalk_1503250562147.jpeg
 
Ulimwengu hayupo sahihi kusema kuwa hakuna sheria inayozuia aina fulani ya mihadhara au mikutano ya siasa.

Tanzania inayo sheria ya UCHAGUZI inayoeleza ni wakati gani wa kufanya kampeni za kichama za uchaguzi. Hii mihadhara yenye maudhui ya kampeni za kisiasa katika kuwania nafasi za uongozi inakatazwa isipokuwa katika kipindi mahsusi cha kampeni za uchaguzi.

Hakuna kiongozi wa kisiasa aliezuiliwa kufanya mikutano kwenye jimbo lake. Infact wengi huita press conferences au huandika kwenye mitandao ya kijamii na maudhui yake yanawalenga Watanzania wote.

Lakini kuhamasisha wananchi nchi nzima (mfano, UKUTA) kuwataka wampinge Rais (dikteta uchwara) ni aina ya kampeni za kisiasa, na kwa bahati mbaya sheria iko wazi ni kipindi gani wanaweza kufanya hivyo.
Ndugu hii kila mtu ana haki nayo tusiishi hivi unavyomaanisha. Tunakoelekea kwa aina ya kufanya baadhi ya raia kuishi kwa hofu sio vizuri
 
Ulimwengu hayupo sahihi kusema kuwa hakuna sheria inayozuia aina fulani ya mihadhara au mikutano ya siasa.

Tanzania inayo sheria ya UCHAGUZI inayoeleza ni wakati gani wa kufanya kampeni za kichama za uchaguzi. Hii mihadhara yenye maudhui ya kampeni za kisiasa katika kuwania nafasi za uongozi inakatazwa isipokuwa katika kipindi mahsusi cha kampeni za uchaguzi.

Hakuna kiongozi wa kisiasa aliezuiliwa kufanya mikutano kwenye jimbo lake. Infact wengi huita press conferences au huandika kwenye mitandao ya kijamii na maudhui yake yanawalenga Watanzania wote.

Lakini kuhamasisha wananchi nchi nzima (mfano, UKUTA) kuwataka wampinge Rais (dikteta uchwara) ni aina ya kampeni za kisiasa, na kwa bahati mbaya sheria iko wazi ni kipindi gani wanaweza kufanya hivyo.
Weka sheria hiyo inayosema mikutano ya siasa ni wakati wa uchaguzi
 
Back
Top Bottom