Jee picha hizi zinawafunza nini viongozi wetu Tanzania? Alokuwa Rais sasa kawa Mfungwa!

abdulahsaf

JF-Expert Member
Aug 31, 2010
858
130
Hosni-Mubarak2.jpg


 
Kiongozi dhaifu,serikali dhaifu,mahakama dhaifu,jaji mkuu dhaifu,mkuu wa magereza dhaifu.
 
Hawa mafisadi wa Nchi yetu wanajifanya hawaogopi.

Ila nawaambia siku ya siku kama hakuna marekebisho na hata nao watakuwa kama huyu.
 
Back
Top Bottom