Tanzania ni nchi ambayo potentially ni tajiri sana kama tungekuwa na viongozi wanaojali maslahi ya nchi na sio ya familia zao.
Ukitaka kujua kuwa tuna viongozi wa hovyo the world has ever seen angalia jinsi miji yetu ilivyokaa hovyo hovyo bila mipango miji. Ni nchi ambayo kila mtu inabidi atafute hela kwa njia yoyote ile ili ajenge nyumba kwa plan anayoijua yeye na iangalie anakotaka yeye, and nobody cares!!
Ni nchi pekee (nadhani) ambayo unatakiwa kulipa rent mwaka mzima wakati wewe unapokea mshahara kwa mwezi, and nobody cares!!
Ni nchi pekee ambayo (juzi kwenye maandamano ya mei mosi) waendesha pikipiki walipita mbele ya rais wa JMT wengi wao wakiwa hawana helmets, and nobody cared, including the president!!!
Ni nchi pekee ambayo viongozi wa vyama vya upinzani wanaweza kutaja majina ya wezi wa mali ya uma na polisi wasifanye chochote mpaka leo!!
Ni nchi pekee ambayo gharama za bidhaa zinapanda kiholela tu, and nobody cares!!
Ni nchi pekee ambayo watu wanaweza kupaki magari baa wakanywa pombe na wakimaliza wanapanda magari yao wanaondoka, polisi hawana taarifa hizi na wala hawana mpango!!
Ni nchi pekee ambayo mgao wa umeme, ukosefu wa maji is the order of the day. Nobody wants to be bothered!!
Halafu Sugu anaposema pigeni mawe hawa watu mnasema anakosea!!!

no data/research no right to speak, this should be our first principle
hata hivyo nchi zenye matatizo ni nyingi sana duniani , mabara yote yana watu wenye matatio, si latin america si south east asia, si central europe si africa, kila sehemu watu wanalalamika
nchi yetu haiendelei kwa sabbu nyingi tu za kiuongozi na mpaka mindset za wananchi wenyewe, maendeleo hayaletwi na serikali bali wewe mwenyewe mwananchi waweza jikwamua na kuwa na maisha nafuu. mji ninaoishi hivi sasa watu wamevuna mazao, wakiamka saa 4 tayari wapo vilabuni wanakunywa pombe na wakati si mbali sana kuna bonde zuri ambalo lingeweza kutumiwa kwa kilimo cha umwagiliaji, ila ndani ya nchi hii hii kuna watu ambao baada ya mavuno wanafikiria namna nyingine ya kuweza kulima na kujikwamua mfano huko uchagani, so wakati mwingine twailaumu sana serikali kwa kutopanga mipango thabiti na endelevu lakini hata sisi wananchi pia ni wavivu wa kujishughulisha
mimi naamini tanzania bado ni miongoni mwa nchi zinazoongozwa vibaya lakini si kweli kuwa sisi ni wa mwisho
Kukimbia haitasaidia kwasababu kama vijana wote wenye nguvu watakimbia nani atabaki kuijenga nchi?
Ni kweli munaokimbia muna sababu.
Naanzisha maudhui haya kwa minajili ya kuwafungua macho watu wengi ambao hawajapata nafasi ya kutembea, na ambao siku zote wanalishwa propaganda za watawala. Kwamba nchi ina amani, mshikamano bla bla bla.
Zamani walikuwa wanatoa mifano ya South Afrika, Angola, Namibia n.k. jinsi mtu mweusi anavokandamizwa huko na kuwa Watanzania wako huru na inapasa kujivunia nchi yao.
Ila mapambano yalipogeuka kuwa ya uchumi wakawa hoja hizo hawanazo. Sasa nadhani hoja moja tu wanayo, nayo ni ile ya amani. Hii pia inatafunwa siku hadi siku kutokana na kupungua mno kwa migogoro Afrika.
Katika matembezi yangu, na kusema kweli nimetembelea nchi ambazo zilikuwa katika vita tangu 70 au 80s, kama Chad,Sudan hata Somalia. Ila kitu kimoja ambacho Tanzania ni tofauti kabisa, ni jinsi maisha ya raia wengi yalivyo duni na mabaya. Kwa hili, hata Somalia ina afadhali. Bila shaka, ni uongozi mbaya, tangu uhuru, ndio ilioifanya Tanzania kufikia hapa, ingawaje ina utajiri mkubwa.
Kama mtu ana jina la nchi yeyote duniani ambayo raia wake wengi wanaishi maisha duni, ya kudhalilishwa na watawala, kuliko Tanzania....aitaje.
Ni nchi pekee ambayo chama tawala kinaweza kufanya kitu kibaya na kukana kuwa hawajafanya (yaani ccm wanaweza kusema NYEUPE ni NYEUSI, mfano ccm ilisema mapacha 3 lazima wapewe barua within 3 months lakini mukama anakanusha kuwa hawakumtaja mtu.Tanzania ni nchi ambayo potentially ni tajiri sana kama tungekuwa na viongozi wanaojali maslahi ya nchi na sio ya familia zao.
Ukitaka kujua kuwa tuna viongozi wa hovyo the world has ever seen angalia jinsi miji yetu ilivyokaa hovyo hovyo bila mipango miji. Ni nchi ambayo kila mtu inabidi atafute hela kwa njia yoyote ile ili ajenge nyumba kwa plan anayoijua yeye na iangalie anakotaka yeye, and nobody cares!!
Ni nchi pekee (nadhani) ambayo unatakiwa kulipa rent mwaka mzima wakati wewe unapokea mshahara kwa mwezi, and nobody cares!!
Ni nchi pekee ambayo (juzi kwenye maandamano ya mei mosi) waendesha pikipiki walipita mbele ya rais wa JMT wengi wao wakiwa hawana helmets, and nobody cared, including the president!!!
Ni nchi pekee ambayo viongozi wa vyama vya upinzani wanaweza kutaja majina ya wezi wa mali ya uma na polisi wasifanye chochote mpaka leo!!
Ni nchi pekee ambayo gharama za bidhaa zinapanda kiholela tu, and nobody cares!!
Ni nchi pekee ambayo watu wanaweza kupaki magari baa wakanywa pombe na wakimaliza wanapanda magari yao wanaondoka, polisi hawana taarifa hizi na wala hawana mpango!!
Ni nchi pekee ambayo mgao wa umeme, ukosefu wa maji is the order of the day. Nobody wants to be bothered!!
Halafu Sugu anaposema pigeni mawe hawa watu mnasema anakosea!!!
Naanzisha maudhui haya kwa minajili ya kuwafungua macho watu wengi ambao hawajapata nafasi ya kutembea, na ambao siku zote wanalishwa propaganda za watawala. Kwamba nchi ina amani, mshikamano bla bla bla.
Zamani walikuwa wanatoa mifano ya South Afrika, Angola, Namibia n.k. jinsi mtu mweusi anavokandamizwa huko na kuwa Watanzania wako huru na inapasa kujivunia nchi yao.
Ila mapambano yalipogeuka kuwa ya uchumi wakawa hoja hizo hawanazo. Sasa nadhani hoja moja tu wanayo, nayo ni ile ya amani. Hii pia inatafunwa siku hadi siku kutokana na kupungua mno kwa migogoro Afrika.
Katika matembezi yangu, na kusema kweli nimetembelea nchi ambazo zilikuwa katika vita tangu 70 au 80s, kama Chad,Sudan hata Somalia. Ila kitu kimoja ambacho Tanzania ni tofauti kabisa, ni jinsi maisha ya raia wengi yalivyo duni na mabaya. Kwa hili, hata Somalia ina afadhali. Bila shaka, ni uongozi mbaya, tangu uhuru, ndio ilioifanya Tanzania kufikia hapa, ingawaje ina utajiri mkubwa.
Kama mtu ana jina la nchi yeyote duniani ambayo raia wake wengi wanaishi maisha duni, ya kudhalilishwa na watawala, kuliko Tanzania....aitaje.
Mkuu umenena!!!naongezea
Nchi ambayo kiongozi wake priority zake ni kuhudhuria mikutano ya kimataifa,na misiba bila kujua wananchi wanamatatizo gani
Nchi ambayo kupokea rushwa kwa polisi ni kawaida na ndiyo wanaoongoza kwa kupokea rushwa
Nchi ambayo inatumia fedha aina mbili tofauti na hakuna wa kumuuliza gavana
Nchi ambayo miundombinu iliyoachwa na mkoloni ilikuwa mingi na kufanya kazi kuliko sasa,na inazidi kuharibika
naanzisha maudhui haya kwa minajili ya kuwafungua macho watu wengi ambao hawajapata nafasi ya kutembea, na ambao siku zote wanalishwa propaganda za watawala. Kwamba nchi ina amani, mshikamano bla bla bla.
Zamani walikuwa wanatoa mifano ya south afrika, angola, namibia n.k. Jinsi mtu mweusi anavokandamizwa huko na kuwa watanzania wako huru na inapasa kujivunia nchi yao.
Ila mapambano yalipogeuka kuwa ya uchumi wakawa hoja hizo hawanazo. Sasa nadhani hoja moja tu wanayo, nayo ni ile ya amani. Hii pia inatafunwa siku hadi siku kutokana na kupungua mno kwa migogoro afrika.
Katika matembezi yangu, na kusema kweli nimetembelea nchi ambazo zilikuwa katika vita tangu 70 au 80s, kama chad,sudan hata somalia. Ila kitu kimoja ambacho tanzania ni tofauti kabisa, ni jinsi maisha ya raia wengi yalivyo duni na mabaya. Kwa hili, hata somalia ina afadhali. Bila shaka, ni uongozi mbaya, tangu uhuru, ndio ilioifanya tanzania kufikia hapa, ingawaje ina utajiri mkubwa.
Kama mtu ana jina la nchi yeyote duniani ambayo raia wake wengi wanaishi maisha duni, ya kudhalilishwa na watawala, kuliko tanzania....aitaje.
ndg
naona watu wameathirika sana na michango ya siasa iliyotawala hapa jf. Tunaamini kila kinachoongelewa humu bora kinaiponda serikali au kiongozi wa chama ukipendacho kasema basi ni kweli. Ya jf si kwamba yote ni sahihi, utapotoka.
Niseme hivi tz haijafika hapo mnaposema. Jiulize ni wangapi wanaingia tz wakiziacha nchi zao, wako wachina, indians, africans, unabakia kujiliwaza eti tz ni mbaya.
Nakushauri badilisheni mtizamo wenu. Soma methali 18.21 itawasaidia.
Ukitaka kujua uzuri wa tz hebu toka hata mwezi mmoja nenda hiyo nchi unayosema ni nzuri, somalia, kenya, sudan n.k
kama hupendi chama tawala usichanganye na kuipenda nchi yako, maana kuitukana nchi yako ni kujitukana mwenyewe.