Jee, duniani kuna nchi inayoendeshwa vibaya zaidi kuliko Tanzania

Tanzania ni nchi ambayo potentially ni tajiri sana kama tungekuwa na viongozi wanaojali maslahi ya nchi na sio ya familia zao.

Ukitaka kujua kuwa tuna viongozi wa hovyo the world has ever seen angalia jinsi miji yetu ilivyokaa hovyo hovyo bila mipango miji. Ni nchi ambayo kila mtu inabidi atafute hela kwa njia yoyote ile ili ajenge nyumba kwa plan anayoijua yeye na iangalie anakotaka yeye, and nobody cares!!

Ni nchi pekee (nadhani) ambayo unatakiwa kulipa rent mwaka mzima wakati wewe unapokea mshahara kwa mwezi, and nobody cares!!

Ni nchi pekee ambayo (juzi kwenye maandamano ya mei mosi) waendesha pikipiki walipita mbele ya rais wa JMT wengi wao wakiwa hawana helmets, and nobody cared, including the president!!!

Ni nchi pekee ambayo viongozi wa vyama vya upinzani wanaweza kutaja majina ya wezi wa mali ya uma na polisi wasifanye chochote mpaka leo!!

Ni nchi pekee ambayo gharama za bidhaa zinapanda kiholela tu, and nobody cares!!

Ni nchi pekee ambayo watu wanaweza kupaki magari baa wakanywa pombe na wakimaliza wanapanda magari yao wanaondoka, polisi hawana taarifa hizi na wala hawana mpango!!

Ni nchi pekee ambayo mgao wa umeme, ukosefu wa maji is the order of the day. Nobody wants to be bothered!!

Halafu Sugu anaposema pigeni mawe hawa watu mnasema anakosea!!!

huku kwetu hakuna maji, wik ya 3 sasa na hakuna anayejali
 
no data/research no right to speak, this should be our first principle

hata hivyo nchi zenye matatizo ni nyingi sana duniani , mabara yote yana watu wenye matatio, si latin america si south east asia, si central europe si africa, kila sehemu watu wanalalamika
nchi yetu haiendelei kwa sabbu nyingi tu za kiuongozi na mpaka mindset za wananchi wenyewe, maendeleo hayaletwi na serikali bali wewe mwenyewe mwananchi waweza jikwamua na kuwa na maisha nafuu. mji ninaoishi hivi sasa watu wamevuna mazao, wakiamka saa 4 tayari wapo vilabuni wanakunywa pombe na wakati si mbali sana kuna bonde zuri ambalo lingeweza kutumiwa kwa kilimo cha umwagiliaji, ila ndani ya nchi hii hii kuna watu ambao baada ya mavuno wanafikiria namna nyingine ya kuweza kulima na kujikwamua mfano huko uchagani, so wakati mwingine twailaumu sana serikali kwa kutopanga mipango thabiti na endelevu lakini hata sisi wananchi pia ni wavivu wa kujishughulisha

mimi naamini tanzania bado ni miongoni mwa nchi zinazoongozwa vibaya lakini si kweli kuwa sisi ni wa mwisho
 
Tz iko mkaiani kwa kitu development,full kukopa hadi posho za wabunge,Dr.slaa aliwai kusema kukopa sio tatizo kwa shughuri za maendeleo lakini kukopa kulipa posho ni hatari.tetesi ni kwamba nchi hii itawekwa kwenye category nyingine yaani nchi ya ulimwengu wa NNE! Kwani aideserve kuwa ktk ulimwengu wa tatu,tupo nyuma zaidi ya hapo.
 
Huwa nasema na nitaendelea kusema hata kama wamejaribu kunizuia nisiseme ninachotaka kusema, ni hivi, tulivyopata uhuru wetu kwa kupiga domo ndivyo na nchi tunavyoiendesha kwa kupiga domo wala hakuna kusonga mbele hata kidogo!
 
Tanzania ni nchi ambayo potentially ni tajiri sana kama tungekuwa na viongozi wanaojali maslahi ya nchi na sio ya familia zao.

Ukitaka kujua kuwa tuna viongozi wa hovyo the world has ever seen angalia jinsi miji yetu ilivyokaa hovyo hovyo bila mipango miji. Ni nchi ambayo kila mtu inabidi atafute hela kwa njia yoyote ile ili ajenge nyumba kwa plan anayoijua yeye na iangalie anakotaka yeye, and nobody cares!!

Ni nchi pekee (nadhani) ambayo unatakiwa kulipa rent mwaka mzima wakati wewe unapokea mshahara kwa mwezi, and nobody cares!!

Ni nchi pekee ambayo (juzi kwenye maandamano ya mei mosi) waendesha pikipiki walipita mbele ya rais wa JMT wengi wao wakiwa hawana helmets, and nobody cared, including the president!!!

Ni nchi pekee ambayo viongozi wa vyama vya upinzani wanaweza kutaja majina ya wezi wa mali ya uma na polisi wasifanye chochote mpaka leo!!

Ni nchi pekee ambayo gharama za bidhaa zinapanda kiholela tu, and nobody cares!!

Ni nchi pekee ambayo watu wanaweza kupaki magari baa wakanywa pombe na wakimaliza wanapanda magari yao wanaondoka, polisi hawana taarifa hizi na wala hawana mpango!!

Ni nchi pekee ambayo mgao wa umeme, ukosefu wa maji is the order of the day. Nobody wants to be bothered!!

Halafu Sugu anaposema pigeni mawe hawa watu mnasema anakosea!!!

Ni nchi pekee ambayo wezi wanalindwa na polisi na raia wakipiga makelele ya kuomba msaada serikali isikie wanaambiwa wahaini!
 
no data/research no right to speak, this should be our first principle

hata hivyo nchi zenye matatizo ni nyingi sana duniani , mabara yote yana watu wenye matatio, si latin america si south east asia, si central europe si africa, kila sehemu watu wanalalamika
nchi yetu haiendelei kwa sabbu nyingi tu za kiuongozi na mpaka mindset za wananchi wenyewe, maendeleo hayaletwi na serikali bali wewe mwenyewe mwananchi waweza jikwamua na kuwa na maisha nafuu. mji ninaoishi hivi sasa watu wamevuna mazao, wakiamka saa 4 tayari wapo vilabuni wanakunywa pombe na wakati si mbali sana kuna bonde zuri ambalo lingeweza kutumiwa kwa kilimo cha umwagiliaji, ila ndani ya nchi hii hii kuna watu ambao baada ya mavuno wanafikiria namna nyingine ya kuweza kulima na kujikwamua mfano huko uchagani, so wakati mwingine twailaumu sana serikali kwa kutopanga mipango thabiti na endelevu lakini hata sisi wananchi pia ni wavivu wa kujishughulisha

mimi naamini tanzania bado ni miongoni mwa nchi zinazoongozwa vibaya lakini si kweli kuwa sisi ni wa mwisho

Ukielewa maana ya serikali utaacha kuongea unayoongea; by the way you sound like one of wabunge wa chama cha magamba maana nao stori zao kila siku ni hizi. Aise chunga sana hizi kauli zako ziishie huku huku JF mm nikikusikia mtaani live lazima nitekeleze agizo la mbunge wangu Sugu 'Operation popoa mawe na kisha zomea' atleast tukipunguza watu wa aina yenu tutasogeza mgu mmoja kwenda mbele kuleta maendeleo.
 
bw. FIDIVIN,
Kweli unaweza kuapa kwa jina la Yesu kwamba hayo unayoyasema unayaamini? Labda basi wewe ni katika hao asilimia 0.001 wanayoila nchi hii na kutoojali asilimia 99.9998 ya watu.
Watu kuja Tanzania ni kwa sababu ni rahisi kwa mgeni kuchuma Tanzania kuliko mzawa. Ndiyo maana ukaona hao uliowataja wanakimbilia Bongo ili wachume. Au unataka kutuambia Tanzania ni nzuri kushinda China, Kenya nk? Mbona Tanzania ni moja ya nchi Least Developed Countries 'LDC' Kenya haimo humo, na hivi karibuni Rwanda na Uganda pia zitaondoka katika listi hiyo zikituacha. Soma taarifa ya UNDP.
Hawa watu waliokwenda shule bila kuelimika wana taabu sana, kama wakuu wao!
 
Jamani tuwe wakweli, Tanzania pamoja na matatizo yake hayo ambayo yamo ndani ya uwezo wetu kuyatatua bado ni sehemu nzuri ya kuishi, hatujafikia katika huo ubaya mnaosema bado sana. Tanzania bado inaendeshwa vizuri japo kasoro zipo nyingi, lakini bado ina mfumo mzuri wa kiutawala, yanahitajika marekebisho madogo tu.
 
Naanzisha maudhui haya kwa minajili ya kuwafungua macho watu wengi ambao hawajapata nafasi ya kutembea, na ambao siku zote wanalishwa propaganda za watawala. Kwamba nchi ina amani, mshikamano bla bla bla.

Zamani walikuwa wanatoa mifano ya South Afrika, Angola, Namibia n.k. jinsi mtu mweusi anavokandamizwa huko na kuwa Watanzania wako huru na inapasa kujivunia nchi yao.

Ila mapambano yalipogeuka kuwa ya uchumi wakawa hoja hizo hawanazo. Sasa nadhani hoja moja tu wanayo, nayo ni ile ya amani. Hii pia inatafunwa siku hadi siku kutokana na kupungua mno kwa migogoro Afrika.

Katika matembezi yangu, na kusema kweli nimetembelea nchi ambazo zilikuwa katika vita tangu 70 au 80s, kama Chad,Sudan hata Somalia. Ila kitu kimoja ambacho Tanzania ni tofauti kabisa, ni jinsi maisha ya raia wengi yalivyo duni na mabaya. Kwa hili, hata Somalia ina afadhali. Bila shaka, ni uongozi mbaya, tangu uhuru, ndio ilioifanya Tanzania kufikia hapa, ingawaje ina utajiri mkubwa.

Kama mtu ana jina la nchi yeyote duniani ambayo raia wake wengi wanaishi maisha duni, ya kudhalilishwa na watawala, kuliko Tanzania....aitaje.

Ungeonyesha nchi hizo hata kwa vielelezo ingefaa, unaonyesha kupotosha umma wa watanzania wasipende nchi yao wakati watu wa mataifa mengine wanaionea kijicho. Kama kuna matatizo na uongozi uliopo ni uzalendo zaidi kuonyesha watanzania wengine kuwa tunakosea wapi na si kuwadanganya watu eti Tanzania ni kama Somalia, Chadi n.k. Wananchi watanzania hawajaingia kwenye makontena na meli mbovu kwa ajili ya kukimbia maisha au kuikimbia nchi yao.
Ni wewe ambaye unaonekana kwanza hujafika huko unakoeleza, mawazo yako ni ya kufikirika, unatafuta nchi kichwani ya kuipamba. Unataka watanzania wawe maharamia.
Nina wasiwasi na uzalendo wako, umejawa na fikra za kutokuthamini utanzania wako.
Inaonyesha hata ukipewa mamlaka ya kuongoza hata wilaya hutaweza kutafsiri wananchi wa wilaya hio wanahitaji nini, utawalaumu kwamba ni wavivu, viongozi waliotangulia hawakufanya lolote na shutuma nyingine nyingi.
Uzalendo wa kweli ni ule ambao upo tayari kutoa mchango wako kwa jamii wenye kujenga na si kubomoa.
 
Tanzania ni nchi ambayo potentially ni tajiri sana kama tungekuwa na viongozi wanaojali maslahi ya nchi na sio ya familia zao.

Ukitaka kujua kuwa tuna viongozi wa hovyo the world has ever seen angalia jinsi miji yetu ilivyokaa hovyo hovyo bila mipango miji. Ni nchi ambayo kila mtu inabidi atafute hela kwa njia yoyote ile ili ajenge nyumba kwa plan anayoijua yeye na iangalie anakotaka yeye, and nobody cares!!

Ni nchi pekee (nadhani) ambayo unatakiwa kulipa rent mwaka mzima wakati wewe unapokea mshahara kwa mwezi, and nobody cares!!

Ni nchi pekee ambayo (juzi kwenye maandamano ya mei mosi) waendesha pikipiki walipita mbele ya rais wa JMT wengi wao wakiwa hawana helmets, and nobody cared, including the president!!!

Ni nchi pekee ambayo viongozi wa vyama vya upinzani wanaweza kutaja majina ya wezi wa mali ya uma na polisi wasifanye chochote mpaka leo!!

Ni nchi pekee ambayo gharama za bidhaa zinapanda kiholela tu, and nobody cares!!

Ni nchi pekee ambayo watu wanaweza kupaki magari baa wakanywa pombe na wakimaliza wanapanda magari yao wanaondoka, polisi hawana taarifa hizi na wala hawana mpango!!

Ni nchi pekee ambayo mgao wa umeme, ukosefu wa maji is the order of the day. Nobody wants to be bothered!!

Halafu Sugu anaposema pigeni mawe hawa watu mnasema anakosea!!!
Ni nchi pekee ambayo chama tawala kinaweza kufanya kitu kibaya na kukana kuwa hawajafanya (yaani ccm wanaweza kusema NYEUPE ni NYEUSI, mfano ccm ilisema mapacha 3 lazima wapewe barua within 3 months lakini mukama anakanusha kuwa hawakumtaja mtu.
 
Ndg

Naona watu wameathirika sana na michango ya siasa iliyotawala hapa JF. Tunaamini kila kinachoongelewa humu bora kinaiponda serikali au kiongozi wa chama ukipendacho kasema basi ni kweli. Ya JF si kwamba yote ni sahihi, utapotoka.
Niseme hivi TZ haijafika hapo mnaposema. Jiulize ni wangapi wanaingia TZ wakiziacha nchi zao, wako wachina, Indians, Africans, unabakia kujiliwaza eti TZ ni mbaya.
Nakushauri badilisheni mtizamo wenu. Soma Methali 18.21 itawasaidia.
Ukitaka kujua uzuri wa TZ hebu toka hata mwezi mmoja nenda hiyo nchi unayosema ni nzuri, Somalia, Kenya, Sudan n.k
Kama hupendi chama tawala usichanganye na kuipenda nchi yako, maana kuitukana nchi yako ni kujitukana mwenyewe.

Kwa hiyo mkuu uchumi wa Tanzania ni bora kuliko wa India, na wanchi zingine ambao watu wao wanakuja hapa Tanzania kutafuta maisha?

Tanzania ni nchi nzuri kwa natura resources tulizonazo ambazo mtu anaweza kujimegea tu ili mradi ajuwe kula na wakubwa, mianya ya rushwa ni mingi ambayo imekuwa kawaida kwa watu kutowa ili mambo yako yaende. Tunaona barax2ni mtu unakamatwa na askari anampa Tsh 5000 mambo yanaisha. Nadhani tatizo kubwa nikutokuwa na Responsible leaders. Sijui nchi hii imelogwa na nani ambapo viongoz wanafanya upupu bila kuwajibishwa. Tuna hatari nchi hii.
 
Naanzisha maudhui haya kwa minajili ya kuwafungua macho watu wengi ambao hawajapata nafasi ya kutembea, na ambao siku zote wanalishwa propaganda za watawala. Kwamba nchi ina amani, mshikamano bla bla bla.
Zamani walikuwa wanatoa mifano ya South Afrika, Angola, Namibia n.k. jinsi mtu mweusi anavokandamizwa huko na kuwa Watanzania wako huru na inapasa kujivunia nchi yao.
Ila mapambano yalipogeuka kuwa ya uchumi wakawa hoja hizo hawanazo. Sasa nadhani hoja moja tu wanayo, nayo ni ile ya amani. Hii pia inatafunwa siku hadi siku kutokana na kupungua mno kwa migogoro Afrika.
Katika matembezi yangu, na kusema kweli nimetembelea nchi ambazo zilikuwa katika vita tangu 70 au 80s, kama Chad,Sudan hata Somalia. Ila kitu kimoja ambacho Tanzania ni tofauti kabisa, ni jinsi maisha ya raia wengi yalivyo duni na mabaya. Kwa hili, hata Somalia ina afadhali. Bila shaka, ni uongozi mbaya, tangu uhuru, ndio ilioifanya Tanzania kufikia hapa, ingawaje ina utajiri mkubwa.
Kama mtu ana jina la nchi yeyote duniani ambayo raia wake wengi wanaishi maisha duni, ya kudhalilishwa na watawala, kuliko Tanzania....aitaje.

Inchi zinazoendeshwa na viongozi kama wa hapa Tanzania ni nyingi tu..... Tofauti kubwa tulio nayo ni kua wanachi husimama kidete Serkali yao inapowaletea upuuzi wowote (hivyo huonekana kama inchi sizizokua na amani) na sisi Wa TZ hupiga kelele na kulalama ukiface ukuta badala ya muhusika (hivyo kuonekana inchi ya amani...) Hizo improvements zitatoka wapi na hali wanyonge wenyewe ni waoga, mwenye kelele akipigwa pesa ndefu ya yeye na familia yake anakua automatically bubu...
 
Mkuu umenena!!!naongezea

Nchi ambayo kiongozi wake priority zake ni kuhudhuria mikutano ya kimataifa,na misiba bila kujua wananchi wanamatatizo gani
Nchi ambayo kupokea rushwa kwa polisi ni kawaida na ndiyo wanaoongoza kwa kupokea rushwa
Nchi ambayo inatumia fedha aina mbili tofauti na hakuna wa kumuuliza gavana
Nchi ambayo miundombinu iliyoachwa na mkoloni ilikuwa mingi na kufanya kazi kuliko sasa,na inazidi kuharibika

Hapo tuko pamoja. Ukienda Kenya, Malawi ,Rwanda nk huwezi kukuta price za vitu ziko kwa dollar. USD inalipa kama equivalent, na siyo base currency. Ni hapa Tanzania tu ndo bidhaa ziko kwa dollar. Leo unalipa DSTV kwa Sh.30,000/- kesho subscription hiyohiyo unalipa kwa Sh. 31,000/-. Maelezo eti Dollar imepanda!
Raisi wa nchi akajichekesha siku moja kwamba atahakikisha bidhaa zote zinakuwa quoted in TZS lakini leo hii TANAPA, wanacharge kwa dollar! Very sad...
 
ili tuendelee tunahitaji vitu 4: 1. watu 2. ardhi 3. siasa safi 4. uongozi bora. binafsi bado naamini katika hii kauli mbiu. ingawa kwa uhakika vitu 3 na 4 hatunavyo kabisa. na hakuna maendeleo hapo asilani
 
naanzisha maudhui haya kwa minajili ya kuwafungua macho watu wengi ambao hawajapata nafasi ya kutembea, na ambao siku zote wanalishwa propaganda za watawala. Kwamba nchi ina amani, mshikamano bla bla bla.

Zamani walikuwa wanatoa mifano ya south afrika, angola, namibia n.k. Jinsi mtu mweusi anavokandamizwa huko na kuwa watanzania wako huru na inapasa kujivunia nchi yao.

Ila mapambano yalipogeuka kuwa ya uchumi wakawa hoja hizo hawanazo. Sasa nadhani hoja moja tu wanayo, nayo ni ile ya amani. Hii pia inatafunwa siku hadi siku kutokana na kupungua mno kwa migogoro afrika.

Katika matembezi yangu, na kusema kweli nimetembelea nchi ambazo zilikuwa katika vita tangu 70 au 80s, kama chad,sudan hata somalia. Ila kitu kimoja ambacho tanzania ni tofauti kabisa, ni jinsi maisha ya raia wengi yalivyo duni na mabaya. Kwa hili, hata somalia ina afadhali. Bila shaka, ni uongozi mbaya, tangu uhuru, ndio ilioifanya tanzania kufikia hapa, ingawaje ina utajiri mkubwa.

Kama mtu ana jina la nchi yeyote duniani ambayo raia wake wengi wanaishi maisha duni, ya kudhalilishwa na watawala, kuliko tanzania....aitaje.

hakuna!
 
Nchi inaendeshwa kimichoro michoro tuu,kimjini mjini tuu hakuna heshima tena ya serikali,ukiona wananchi wanachuki kubwa na serikali yao ujue serikali hiyo ni bazazi na haijiendeshi kwa misingi ya haki na sheria duu
 
ndg

naona watu wameathirika sana na michango ya siasa iliyotawala hapa jf. Tunaamini kila kinachoongelewa humu bora kinaiponda serikali au kiongozi wa chama ukipendacho kasema basi ni kweli. Ya jf si kwamba yote ni sahihi, utapotoka.
Niseme hivi tz haijafika hapo mnaposema. Jiulize ni wangapi wanaingia tz wakiziacha nchi zao, wako wachina, indians, africans, unabakia kujiliwaza eti tz ni mbaya.
Nakushauri badilisheni mtizamo wenu. Soma methali 18.21 itawasaidia.
Ukitaka kujua uzuri wa tz hebu toka hata mwezi mmoja nenda hiyo nchi unayosema ni nzuri, somalia, kenya, sudan n.k
kama hupendi chama tawala usichanganye na kuipenda nchi yako, maana kuitukana nchi yako ni kujitukana mwenyewe.

ndg yangu fidivin ni wazi mada imekupita pembeni, elewa sasa wanaosema hivyo wanasema kwa uchungu mkuu kwa nchi yaaooooooo.
 
Back
Top Bottom