Je yawezekana?

Hivi inawezekana mtu (mume/mke) kuishi peke yake bila mwenzi na akawa na furaha mpaka kufa kwake?

Ngumu ! Itakua unaifisadi itifaki ya kanuni ya maumbile ! Kila organ iliyo mwilini mwa binadamu ina kazi maalum, na si decoration! (kazi maalum kwa matokeo maalum)
 
Popo unamiasira sana! Kumbe single ni better na ndoa chanzo cha matatizo na hasa stress...

Kweli mkuu ndoa inaleta stress, lakini usipo oa uhakikishe una watoto wako kama wawili/tatu wakukuondolea upweke.
 
Ngumu ! Itakua unaifisadi itifaki ya kanuni ya maumbile ! Kila organ iliyo mwilini mwa binadamu ina kazi maalum, na si decoration! (kazi maalum kwa matokeo maalum)

mkuu kutokuoa haimaanishi utakua hauchakachui. itifaki na kanunu ya kuchakachua iko pale pale.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom