JE WAJUA... VINGI VITAMUU HUANZIA NA HERUFI "k"?

Taja jina na siyo tendo mfano uliyesema kulala badala ya usingizi, kukojoa badala ya mkojo. Nyie wakenya nini?
 
Mfano Kuku, Keki, KITUMBUA, Kalimati pamoja hicho unalichokifikiria kingekuwa kwenye orodha hii.
Na si kingine ngoja nikitaje live sasa KULALA.
Ongezea na wewe kama kipo kingine uone utakavyopigwa:banplease:

Kofi !!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Amakweli wabongo tumezidi, maneno na ujanja wote huu watu wanalenga sehemu moja tu hapa.......hahahahaa, lakini kuna koni wazee
 
Back
Top Bottom