JE WAJUA... VINGI VITAMUU HUANZIA NA HERUFI "k"?

Mfano Kuku, Keki, KITUMBUA, Kalimati pamoja hicho unalichokifikiria kingekuwa kwenye orodha hii.
Na si kingine ngoja nikitaje live sasa KULALA.
Ongezea na wewe kama kipo kingine uone utakavyopigwa:banplease:

Kunazi hasa za kikuyu kwa makuber . Nilikuwa natororkoa shule Mazengo pm kuzifuata hizi .
 
Back
Top Bottom