Je unazikumbuka hiz hadith na misemo hii..Ungana nami upate uhondo 100%

masanjamkandamizaji

Senior Member
Oct 30, 2014
171
72
Je unazikumbuka hizi?
1.Kibanga ampiga mkoloni.
2.Siku ya gulio Katerero.
3.Chilunda apambana na chui.
4.Ndoto za kimweri 5.Pamela na kipini 6.Watoto wageuka mawe.
7.Sizitaki mbichi hizi
8.Brown ashika tama.
9.Lindu amuokoa Kapilima.
10.Pepe huna masikio.
11.Sisimizi shujaa. 12.Juma na Roza 13.Chopeko na mnofu.
14.Manenge na mandawa 15.Mamba na kima 16.Karudi baba mmoja Unakumbuka wapi? Hebu mtumie yeyote uliyesoma nae enzi hizo popote alipo aone.
Watoto wetu sasa jinsi walivyokosa uhondo.

By
Source masanjamkandamizaji.
 
Pete ya mtemi ndamanga...nilikua mdogo sana lakini bado naikumbuka kidogo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom