ELIMU kweli ni Bahari pia ni Ufunguo

Adharusi

JF-Expert Member
Jan 22, 2012
14,402
7,310
Je unazikumbuka hizi?
1.kibanga ampiga mkoloni
2.Siku ya gulio katerero 3.Chilunda apambana na chui
4.Ndoto za kimweri
5. Pamela na kipini
6.Watoto wageuka mawe
7.Sizitaki mbichi hizi
8.Brown ashika tama
9.Lindu amuokoa kapilima,
10.Pepe huna masikio
11.Sisimizi shujaa
12.Tembo na chura 13.Chopeko na mnofu
14.Tola alia gizani,
15.Tumbo niachie nimwachie manenge uji,
16.Siafu mwenye nguvu 17.Sadiki na Fikiri,
18.Munembo na Mutegeki,
19.Mussa mtoto shujaa,
20.Kimweri,na paa,
21.Muhogo mti wa ajabu
22.Mfalume la_la 23.Dunia haina siri 24.Upatu shujaa Je unazikumbuka
"Vox popoli Vox dei"
 
sasa huo ubahari unaouona ww upo wapi....????
upo kidato cha ngapi kwan???
 
haaaaahaaaaaaa......umenikumbusa mbali hapo kwenye ChOpEkO Na Mnofu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom