Je, unazijua sifa za mtu kuwa mlinzi wa Rais?

Unataka Kujua Masuala Ya Ulinzi Wa Rais Wako Nenda Pale Makumbusho Kitengo Cha PSU Na Omba Kufanya Appointment Na Mkuu Wa PSU Mzee MASHIBA Na Atakupa Taratibu Zote au Ukishindwa Sana Siku Jipange Uende Chuoni Mbweni Ukaonane Na Principal Wa Chuo Chao Na ALIYETUKUKA Afande George Wandiba Kisha Utayapata Yote Hayo Kwani Yeye Ndiye MKUFUNZI Mkuu Wa Wana PSU. Usipotoshwe Na Wengine Humu MAPOPOMA Watupu Wanaotaka Kupata KIKI Kujifanya Wanaijua KULIKO PSU Na TISS Wakati Kumbe Ni Walinzi Tu Pale Getini Makumbusho. Kama Huu Ushauri Wangu Utaona Unakufaa Uchukue Ila Kama Utaona Haukufai Niachie Tu Mwenyewe. Jumapili Njema!
Hii mada naomba iishie hapa.
 
Salute...Amakuru...
 
Hii mada naomba iishie hapa.

Binafsi NIMESHAMALIZA Na Sidhani Kama Nitaigusa Tena Ukiachilia Mbali Naacha Kuyajua Ya Nchi Yangu Pendwa, Nzuri Na Iliyotukuka Ya Rwanda Nahangaika Na Tanzania Yenu. Karibuni Mno Kwetu Rwanda Na Wamenituma Niwasalimu Watanzania Kwa Kusema Mbona Hawawaoni Tena Kule UWANJA Wa VITA DRC?
 
Hahahaaaaa kaka GENTAMYCINE nimekumiss kweli yani maana hata siasani sikuoni.
Vipi? Au na wewe mafuriko yamekuzoa?

Unauhakika Kuwa Hujaniona? Hebu Pitia Tena Huko SIASANI Uone Kama Sijakuwepo. Kuna MAPOPOMA Wenzio Huko Tayari Nimeshawapa Vidonge Vyao Na Sasa VINAWAINGIA Tu. Siyaogopi Na CCM Pia HAWAYAOGOPI Ng'o MAFURIKO Ya Lowassa Badala Yake Mimi Na CCM Tulikuwa TUNAOGOPA MAPOROMOKO MAKUBWA Ya TISHIO LETU Dr. Wilbroad Slaa. Kuifafanisha CHADEMA / UKAWA Na CCM Ni Sawa Na Leo UFANANISHE Mpambano Wa NDONDI Kati Ya Francis Cheka ( CHADEMA / UKAWA ) Wa Tanzania Na Flyod Mywether ( CCM ) Wa Marekani.
 
Wakati naandika hiyo post nilikua sijakuona kokote...pole sana maana wewe ndiye uliyechanganyikiwa maana sio kwa povu hili.
Tutoke huku tunaharibu uzi...
#TukutaneSiasani
 
Hii mada naomba iishie hapa.

Edobeny huyu jamaa nlichomgundua hajui kitu afu ana force mambo plus yupo ku compete....

...another thing anajua chuo ni mbweni tu..poor him
...another thing ana vitaarifa out dated
...another thing hana ethics
...another thing anajua security ni psu tu...shame on him
......alamsiki best
....nisalimie kwenu
 
Last edited by a moderator:

Lakini kama hajui kitu na yuko outdated?,kwanini awe hana ethics,kwani ni mwenzenu huyu!!!??
 
Last edited by a moderator:
kiasi mwanga naupata ktk series ya 24 ya jack bour,the bodyguard frm Beijing ya Jet Li na the bodyguard ya franco wa marehem Whtiney houston pamoja na Jumong kama jina la mtoa mada,tusiwe wavivu kuangalia hizi move kwa maoni yangu idara za security zenye mafunzo ya mgambo pekee inapaswa wazitazame mana idara zingine walimu wao wanaenda mpaka Israel na kwingineko zinapoandaliwa move hizo so hawazihtaji sana,
 
Mi mzima aisee,sijui wewe.

mi mzima ndugu yangu
....kwanza nikujibu swali lako nilivyosema hana ethics na maanisha kimaadil huwez kulazimisha uongo uwe ukwel afu kwa maneno makali na jazba kama aliyokuwa nayo yule jamaa

....pili si mwenzangu cz sijui anafanya shughul gana kujipatia kipato, mi kipato changu na kipata through biashara zangu
...nliposema ana outdated info nilimaanisha mfano kusema Rais wa Tanzania ni Mh Mwinyi wakati mwinyi si Rais kwa sasa, kumbe bahat mbaya tu kuna siku ulimsikia mtu anasema mwinyi ni rais na ilikuwa miaka mingi ilopita

....ni sawa na kusema mkono ndio kiungo kilichopo katika mwili wa binadam wakat viungo vipo vingi na vyote vinategemeana

Mwisho mwenye macho aambiwi ona, na mwenye akili atachunguza comments zangu zen atapima which is which

...in real sense huwez kumpa ushaur mwenzako kwa kumwambia nenda sehem flan muulizie mtu flan namna ya kupata kazi atakupa, ni waz humtakii huyo mtu mema.

Bad news Nafikir jamaa wamempa BAN apumzike kidogo.
usiku mwema
acha wengine tuendelee na shughul nyingine.
 
Ok!
1. Kigezo cha kwanza na kikuu lazima awe idarani.
Ikionekana kuna mtu anafaa zaidi nje ya idara ie JW,jkt au polisi basi lazima aingizwe idarani kwanza then anakabidhiwa jukumu.
2. Vigezo vingine kuna mdau kavitaja hapo juu ila cha muhimu zaidi kuna veting ya wakuu ndio inayodetermine nani ni nani.
3. Kuna watu wa idara wanaoweza kujitambulisha kama wao wapo idarani kutegemeana na vyeo na mahali husika. Ila wengine ni mwiko kujitambulisha mpaka kwa kibali na ruhusa maalum kutoka kwa mkuu.
Nb: Ukiona mtu anaropoka bar kuna mawili
a. Sio wa idara
b. Ni wa idara ila nafasi yake inamruhusu kutegemeana na nature ya majukumu yake mfano RSO na wengine

Nini kirefu cha RSO?
 
Nini kirefu cha RSO?
RSO: Radiation Safety Officer

RSO: Registered Sex Offender

RSO: Range Safety Officer

RSO: Regional Security Officer

RSO: Rent Stabilization Ordinance

RSO: Retirement Services Officer

RSO: Road Safety Officer

RSO: Reconnaissance Systems Officer

RSO: Resident Space Object

RSO: Radiological Safety Officer

RSO: Regimental Signals Officer
 
ingekuwa ni siri kamwe wasingekuwa wanatuambia na kuturopokea wanayoyafanya humo ofisini kwao makumbusho, oysterbay, kinondoni makaburini, stesheni na ubungo maji tena wakiwa wamelewa chakari, bastola zao wamezianika mezani huku pembeni wakiwa wamezungukwa na vinchechede. Usipotoshe watu hakuna siri sasa ndani ya psu au tiss ila tunachokifanya ni kuwatunzia tu siri zao zingine kimaadili kwa uzalendo wa kuipenda nchi tuliopewa tukiwa kama watanzania na wao wakiwa ni makamanda wetu watiifu na waliotukuka.
GENTAMYCINE hivi yule aliyekuwa mpenzi wako wa kwenye lile gazeti maarufu hajambo?
 
Last edited by a moderator:
ulivyouliza swali nilijuwa unatupa jibu Kumbe na wewe hujui basi tafuta Ma Raisi ukimuona na Mlinzi wake muite na muulize sababu za yeye kupata ile kazi ni kapitia wapi? Kasomea Nini? Na kwanini kachagua kufanya anachofanya?
 
mi mzima ndugu yangu
....kwanza nikujibu swali lako nilivyosema hana ethics na maanisha kimaadil huwez kulazimisha uongo uwe ukwel afu kwa maneno makali na jazba kama aliyokuwa nayo yule jamaa

....pili si mwenzangu cz sijui anafanya shughul gana kujipatia kipato, mi kipato changu na kipata through biashara zangu
...nliposema ana outdated info nilimaanisha mfano kusema Rais wa Tanzania ni Mh Mwinyi wakati mwinyi si Rais kwa sasa, kumbe bahat mbaya tu kuna siku ulimsikia mtu anasema mwinyi ni rais na ilikuwa miaka mingi ilopita

....ni sawa na kusema mkono ndio kiungo kilichopo katika mwili wa binadam wakat viungo vipo vingi na vyote vinategemeana

Mwisho mwenye macho aambiwi ona, na mwenye akili atachunguza comments zangu zen atapima which is which

...in real sense huwez kumpa ushaur mwenzako kwa kumwambia nenda sehem flan muulizie mtu flan namna ya kupata kazi atakupa, ni waz humtakii huyo mtu mema.

Bad news Nafikir jamaa wamempa BAN apumzike kidogo.
usiku mwema
acha wengine tuendelee na shughul nyingine.

Kapewa ban lakini nasikia kuwa jamaa huyu ana id's humu karibia 11 hivi na usikute hata hizi id's zingine unazoziona humu zinachangia huku zingine zikikusapoti kinafiki akawa bado ni yeye tu. Id's zake zingine nasikia ni kadoda11, Mussolin5 na nifah ukichanganya na ile waliyompiga ban sijui inaitwa GENTAMYCINE nasikia anazo zingine tena 7 hivi. Anyway mimi bado mgeni ngoja niwaache muendelee nae asije akanishambulia na mimi mnyonge humu bure!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom