Je unaweza kufa 2016 na kuzikwa 2015?

Wamechelewa tu kumuita. Kiranga fanya uje huku.
Hiyo habari ya kufa 2016 halafu kuzikwa 2015 kwa sababu ya time zones inawezekana, ila ni illusion.

Katika novel moja niliyosoma kitambo, hata sikumbuki novel gani, it could be one of Sidney Sheldons, Jackie Collins or something similar,I was so into that stuff in the late 80s and early 90s, kuna mtu alitakiwa ku sign documents Marekani, akawa na deadline, akaja kushtuka ile siku ishapita, just after midnight.Yeye alikuwa California nafikiri. Akaongea na lawyer wake, lawyer akamwambia unaweza kupanda ndege kwenda Hawaii, Hawaii wako masaa 3 nyuma ya California na ukisafiri west una gain hours. By the time ukifika Hawaii itakuwa jana bado na utakuwa ndani ya deadline, utaweza ku sign documents within the USA within the deadline.

But that is an illusion created by time zones. Ukitaka kuhesabu muda kwa saa moja duniani, kwa mfano Greenwhich Mean Time, huwezi kufanya hivyo. Kwa sababu unaweza kufanya hivyo kwa kutumia time zones tu.

gaining-and-losing-time-and-days-1-728.jpg

Sasa tuondoke kwenye hiyo illusion ya Time Zones, tuangalie habari ya Time Travel ya ukweli.

Kwanza kabisa, ningependa kutoa framework nitakayozungumzia ndani yake kwa sababu kuna pseudoscience nyingi sana kuhusu hili suala, hivyo ni bora tuanze kuelezea kisayansi nazungumzia katika framework gani.

Framework nitakayozungumzia ni Albert Einstein's General Relativity Theory ambayo kifupi inasema kwamba space na time haviko constant na vinakuwa affected na velocity na gravity. Mambo yanayotokea kwa wakati mmoja kwa mtazamaji mmoja yanaweza kuwa yanatokea kwa nyakati tofauti kwa mtazamaji mwingine.

Kwa mujibu wa Relativity, tunaweza kupunguza kasi ya kupita muda kwa kuongeza speed au gravity. Unapoongeza speed unaupunguza muda kasi yake ya kupita, unapoongeza gravity unapunguza kasi ya muda kupita kwa Zaidi soma hapa

Kupunguza kasi ya muda kupita kunaitwa "time dilation".Kuna mfano mmoja mzuri unatumika kuelezea hii time dilation.

Suppose una mapacha wawili waliozaliwa siku moja. Kulwa na Doto. Wamepishana masaa mawili.

Sasa hawa mapacha Doto kasomea finance kawa meneja wa Benki. Kulwa alijichanganya kwenye mambo ya anga za juu akafika mpaka kwenye program ya kwenda kwenye nyota ya karibu kabisa ya Alpha Centauri iliyopo 4.367 light years away (41.3 trillion kms au mara 276173.78 umbali wa kutoka duniani kwenda kwenye jua).

Basi Kulwa akianza safari yake wakati akiwa na miaka 25 (na Doto naye ana miaka 25 kwa sababu wamezaliwa siku moja) wote wakavaa saa inayohesabu muda sawa, Kulwa akienda kwenye chombo kinachoweza kukaribia speed of light 299 792 458 m / s, anaweza kwenda Alpha Centauri na kurudi hapa duniani kwa kutumia miaka 10 kwa mujibu wake, lakini akarudi hapa duniani na kukuta kwa aliowaacha hapa duniani miaka 50 imepita.

Hivyo Kulwa anaweza kurudi akiwa na miaka 35 kwa mujibu wa saa yake na muda ulivyopita kwake, lakini akakuta Doto ana miaka 75.

In fact Kulwa anaweza kuwa mdogo kuliko mdogo wake Peter ambaye alimuacha akiwa na miaka 20, baada ya safari ya Kulwa, Kulwa atarudi akiwa na miaka 35 wakati mdogo wake Peter atakuwa na miaka 70.

Hii ni kwa sababu unavyozkaribia speed of light, kasi ya upitaji wa muda inazidi kupungua. Sekunde moja kwako unayesafiri inachukua 0.9 seconds kupita kwa mujibu wa walio duniani, unavyozidisha speed inachukua 0.8 seconds, inashuka kadiri unavyozidi kuongeza speed.

Kwa Zaidi soma hapa The case of the travelling twins — Einstein Online

In theory, ukiweza kufikisha speed of light, utaweza kusimamisha muda kabisa.

Kwa maana nyingine, tungeweza kuuangalia ulimwengu kutoka kwenye jicho la photon (particle of light) tungeona ulimwengu ambao hauna muda. Ni wazo gumu kidogo kulielewa.

Lakini, kwa mujibu wa nadharia ya Einstein ya Relativity, kitu chochote chenye mass, haijalishi kidogo kiasi gani, kinaweza kukaribia tu speed of light, hakiwezi kufikia au kuipita.

Hii ni kwa sababu, kitu chochote chenye mass, kadiri kinavyozidisha speed, sio tu kinapunguza upitaji wa muda kama tulivyoona hapo juu, bali pia kinaongeza ukubwa wake na uzito wake.

Na kadiri chenye mass kinavyozidi kukaribia speed of light, ndivyo kinavyozidi kukaribia uzito infinity na urefu wa 0.

Na uzito infinity unahitaji energy infinity ili kuusukuma hata kidogo tu.

Kwa hiyo hilo haliwezekani.

Kuna idea nyingine za time travel through wormholes, lakini hatujapata sayansi ya kuweza kutumia hizo wormholes

Kwa Zaidi ona Time Travel: Theories, Paradoxes & Possibilities

In 1999 I had an entire Geocities page where I wrote about this stuff and how time behaves near a black hole.

Unfortunately Yahoo shut Geocities down.

NB: I used arbitrary time dilation numbers to demonstrate a general concept, more accurate time dilation charts and even calculators are available online.
 
thanks mkuu kwa ufafanuzi.
 
Inawezekana lakini si kwa maana halisi ya ulichoandika kwakuwa tofauti ya muda duniani haiweZi kuzidi saa 72 lakini pia kwa tafsiri ya ulimwengu roho hakuna kitu kama hicho
Kwenye ulimwengu wa kiroho tunakufa masaa si chini ya 12 kabla kifo kamili kutokea
-mgonjwa aliye mahututi anapata nafuu ghafla na kula vizuri tuu huyo hamalizi 12 alishakufa
-mtu anasita kwa mfano kusafiri lakini anazalizimisha, ndani ya masaa 12 anapata ajali na kufa
-mtoto mke jamaa au rafiki anakuzuia kufanya jambo fulani hasa safari kwa vilio(mtoto)au maneno kwa watu wazima lakini unalazimisha...kama umeshakufa hutakubali ushauri wao na kifo halisi kitatokea ndani ya masaa 12
Bro hii umesema kweli kabisa ,sitahau mwaka1997 nililazimisha kusafiri na basi MASHIKU enzi hizo toka mwanza kuja Dodoma,rafiki yangu aliniambia safiri kwa train zaidi ya mara tano,nikamkatalia kilichokuja tokea tulipata ajari Nzega ilikuwa November 1997 kuna daraja la mto kitangiri lilikuwa limejaa maji mpk juu dereva akalipitisha Bila kuhakiki ka daraja lipo mida ya saa 11jioni Basi lilitumbukia darajani Bro,sikuamini kilichotokea ! Mungu mkubwa alikufa mtu mmoja kwa uzembe wa Polisi ambae alikua amelewa tulimtoa ndani ya Basi ,kumvusha upande wa daraja lilipo tulishindwa ,tukawapa taarifa Polisi .
 
Kuna concept ya time space travelling, ambayo ukisafiri kwa spidi kubwa kwenye space una-slowdown time. Hivyo siku moja in space inaweza kuwa miaka 20 dunian.

Ni complex idea, ila elewa hivyo. Watu wataenda kwenye solar systems za mbali kwa kutumia siku chache tu, lakini ni mamia ya miaka dunian. Watashangaa watakaporudi wanakuwa nyuma kwa miaka kibao na kila kitu kimebadilika sana.

Nao wanakuwa wanaishi past in present, maana wataonekana vijana wa miaka 20 kumbe wana miaka 600
Sure..umewahi kuona series moja inaitwa lost?umezungumza mle mle
 
Kuna concept ya time space travelling, ambayo ukisafiri kwa spidi kubwa kwenye space una-slowdown time. Hivyo siku moja in space inaweza kuwa miaka 20 dunian.

Ni complex idea, ila elewa hivyo. Watu wataenda kwenye solar systems za mbali kwa kutumia siku chache tu, lakini ni mamia ya miaka dunian. Watashangaa watakaporudi wanakuwa nyuma kwa miaka kibao na kila kitu kimebadilika sana.

Nao wanakuwa wanaishi past in present, maana wataonekana vijana wa miaka 20 kumbe wana miaka 600
Mkuuu naomba unieleweshe hapa
 
je huo muda wa kufa na kusafirishwa kuwahi kule ambapo muda/masaa yapo nyuma utatumia usafiri gani uweze kuwahi? labda theoreticaly ukae mpakani mwa hizo nchi mbili ukisubiri kufauvushwe boda tu uzikwe jana yake kwa masaa ya tz. rwanda watakuconsider kuwa umekufa in future ukaja zikwa in present na tz wata kuconsider umekufa in present bt ukazikwa in past. ni concept ngumu kidogo kumeza but if u cant convivce them confuse them
teh teh teh wewe jamaa wewe hatari kabisa, eti if u can't convice them, confuse them.
 
Hata mtoa mada anawaza kwa sauti tu lakini thamani ya marehemu zinafanana tu. aliyekufa mwaka 1980 na wa 2016 wanafanana tu. hata uhamishwe wapi wala huna network
 
Mada inaeleweka sema hio tittle ndo kidogo ina kwenda opp.

Hii topic ya time travel inakuwa ngumu kwa watu kwasababu ya kukosa ujuzi wa 'muda'na hio 'safari'

Kwa dunia ya leo karne hii time travel imebaki kuwa proved kihistoria..

Mfano kwa sasa tz inaweza kuwa ni karne ya 21 ila kwa wenzetu ni ya 24.. ingawa ndani ya tz kuna ambao wapo karne ya 18.

Ni ngumu kueleweka ila ndo hivyo.. ukitoka dar leo ukienda hukooo sumbawanga ndani ndani huko au huko gamboshi rudisha kalenda yako nyuma..
 
Inawezekana lakini si kwa maana halisi ya ulichoandika kwakuwa tofauti ya muda duniani haiweZi kuzidi saa 72 lakini pia kwa tafsiri ya ulimwengu roho hakuna kitu kama hicho
Kwenye ulimwengu wa kiroho tunakufa masaa si chini ya 12 kabla kifo kamili kutokea
-mgonjwa aliye mahututi anapata nafuu ghafla na kula vizuri tuu huyo hamalizi 12 alishakufa
-mtu anasita kwa mfano kusafiri lakini anazalizimisha, ndani ya masaa 12 anapata ajali na kufa
-mtoto mke jamaa au rafiki anakuzuia kufanya jambo fulani hasa safari kwa vilio(mtoto)au maneno kwa watu wazima lakini unalazimisha...kama umeshakufa hutakubali ushauri wao na kifo halisi kitatokea ndani ya masaa 12
Hapa umenivuruga kabisa
 
Ndio inawezekana.

Kama ulikufa tarehe 1 mwezi wa kwanza mwaka 2016 ukiwa New Zealand saa sita kamili usiku, kisha kabla ya lisaa limoja ukapakizwa kwenye ndege ya jet yenye speed zaidi ya speed ya 1500km/h utafika marekani bado siku haijaanza na utazikwa mapema kabla ya saa 6 ya tarehe 1 mwezi wa kwanza. Hivyo itakuwa bado ni 2015.

Eternal sunrise - Math Central
 
Hiyo habari ya kufa 2016 halafu kuzikwa 2015 kwa sababu ya time zones inawezekana, ila ni illusion.

Katika novel moja niliyosoma kitambo, hata sikumbuki novel gani, it could be one of Sidney Sheldons, Jackie Collins or something similar,I was so into that stuff in the late 80s and early 90s, kuna mtu alitakiwa ku sign documents Marekani, akawa na deadline, akaja kushtuka ile siku ishapita, just after midnight.Yeye alikuwa California nafikiri. Akaongea na lawyer wake, lawyer akamwambia unaweza kupanda ndege kwenda Hawaii, Hawaii wako masaa 3 nyuma ya California na ukisafiri west una gain hours. By the time ukifika Hawaii itakuwa jana bado na utakuwa ndani ya deadline, utaweza ku sign documents within the USA within the deadline.

But that is an illusion created by time zones. Ukitaka kuhesabu muda kwa saa moja duniani, kwa mfano Greenwhich Mean Time, huwezi kufanya hivyo. Kwa sababu unaweza kufanya hivyo kwa kutumia time zones tu.

gaining-and-losing-time-and-days-1-728.jpg

Sasa tuondoke kwenye hiyo illusion ya Time Zones, tuangalie habari ya Time Travel ya ukweli.

Kwanza kabisa, ningependa kutoa framework nitakayozungumzia ndani yake kwa sababu kuna pseudoscience nyingi sana kuhusu hili suala, hivyo ni bora tuanze kuelezea kisayansi nazungumzia katika framework gani.

Framework nitakayozungumzia ni Albert Einstein's General Relativity Theory ambayo kifupi inasema kwamba space na time haviko constant na vinakuwa affected na velocity na gravity. Mambo yanayotokea kwa wakati mmoja kwa mtazamaji mmoja yanaweza kuwa yanatokea kwa nyakati tofauti kwa mtazamaji mwingine.

Kwa mujibu wa Relativity, tunaweza kupunguza kasi ya kupita muda kwa kuongeza speed au gravity. Unapoongeza speed unaupunguza muda kasi yake ya kupita, unapoongeza gravity unapunguza kasi ya muda kupita kwa Zaidi soma hapa

Kupunguza kasi ya muda kupita kunaitwa "time dilation".Kuna mfano mmoja mzuri unatumika kuelezea hii time dilation.

Suppose una mapacha wawili waliozaliwa siku moja. Kulwa na Doto. Wamepishana masaa mawili.

Sasa hawa mapacha Doto kasomea finance kawa meneja wa Benki. Kulwa alijichanganya kwenye mambo ya anga za juu akafika mpaka kwenye program ya kwenda kwenye nyota ya karibu kabisa ya Alpha Centauri iliyopo 4.367 light years away (41.3 trillion kms au mara 276173.78 umbali wa kutoka duniani kwenda kwenye jua).

Basi Kulwa akianza safari yake wakati akiwa na miaka 25 (na Doto naye ana miaka 25 kwa sababu wamezaliwa siku moja) wote wakavaa saa inayohesabu muda sawa, Kulwa akienda kwenye chombo kinachoweza kukaribia speed of light 299 792 458 m / s, anaweza kwenda Alpha Centauri na kurudi hapa duniani kwa kutumia miaka 10 kwa mujibu wake, lakini akarudi hapa duniani na kukuta kwa aliowaacha hapa duniani miaka 50 imepita.

Hivyo Kulwa anaweza kurudi akiwa na miaka 35 kwa mujibu wa saa yake na muda ulivyopita kwake, lakini akakuta Doto ana miaka 75.

In fact Kulwa anaweza kuwa mdogo kuliko mdogo wake Peter ambaye alimuacha akiwa na miaka 20, baada ya safari ya Kulwa, Kulwa atarudi akiwa na miaka 35 wakati mdogo wake Peter atakuwa na miaka 70.

Hii ni kwa sababu unavyozkaribia speed of light, kasi ya upitaji wa muda inazidi kupungua. Sekunde moja kwako unayesafiri inachukua 0.9 seconds kupita kwa mujibu wa walio duniani, unavyozidisha speed inachukua 0.8 seconds, inashuka kadiri unavyozidi kuongeza speed.

Kwa Zaidi soma hapa The case of the travelling twins — Einstein Online

In theory, ukiweza kufikisha speed of light, utaweza kusimamisha muda kabisa.

Kwa maana nyingine, tungeweza kuuangalia ulimwengu kutoka kwenye jicho la photon (particle of light) tungeona ulimwengu ambao hauna muda. Ni wazo gumu kidogo kulielewa.

Lakini, kwa mujibu wa nadharia ya Einstein ya Relativity, kitu chochote chenye mass, haijalishi kidogo kiasi gani, kinaweza kukaribia tu speed of light, hakiwezi kufikia au kuipita.

Hii ni kwa sababu, kitu chochote chenye mass, kadiri kinavyozidisha speed, sio tu kinapunguza upitaji wa muda kama tulivyoona hapo juu, bali pia kinaongeza ukubwa wake na uzito wake.

Na kadiri chenye mass kinavyozidi kukaribia speed of light, ndivyo kinavyozidi kukaribia uzito infinity na urefu wa 0.

Na uzito infinity unahitaji energy infinity ili kuusukuma hata kidogo tu.

Kwa hiyo hilo haliwezekani.

Kuna idea nyingine za time travel through wormholes, lakini hatujapata sayansi ya kuweza kutumia hizo wormholes

Kwa Zaidi ona Time Travel: Theories, Paradoxes & Possibilities

In 1999 I had an entire Geocities page where I wrote about this stuff and how time behaves near a black hole.

Unfortunately Yahoo shut Geocities down.

NB: I used arbitrary time dilation numbers to demonstrate a general concept, more accurate time dilation charts and even calculators are available online.
kwahiyo kama mtu angekua na spidi ya mwanga angeweza kujua future?
 
Angekuwa na speed ya mwanga, kwake kusingekuwa na future, time inge freeze, past, present na future yote ingekuwa kitu kimoja.

Akipita speed ya mwanga angeweza kujiona alivyokuwa zamani kutoka future, kwa sababu angeweza kufika future kabla mwanga wake haujafika, halafu akakaa na kuuangalia mwanga wake kutoka future.

Ni kama Usain Bolt akiweza kukimbia Zaidi ya spidi ya mwanga aweze kufika kwenye finish line kabla mwanga wake haujafika kwenye finish line, halafu akifika kwenye finish line, kwa sababu kashafika kwenye finish line kabla mwanga wake haujafika kwenye finish line, aweze kugeuka na kujiangalia jinsi alivyokuwa anakimbia kufika kwenye finish line.
 
Daah watu mnawaza mbali aisee noma sana
Sasa Albert Einstein alifikiri mambo haya miaka ya mwanzo ya 1900, aliandika papers zake za Relativity kati ya mwaka 1905 na 1915 !

Alivyopeleka papers zake kwanza kwenye chuo kikuu kimoja cha Uswizi maprofesa walimkatalia kwa sababu alionekana kama katunga vitu vya ajabu tu.
 
Back
Top Bottom