Je unaweza kufa 2016 na kuzikwa 2015?

moghasa

JF-Expert Member
May 7, 2013
1,084
1,251
wakuu asalaamu?

watu wengi hapa jf walishawahi kutoa michango yao kuhusu kurudi nyuma ya wakati yaani "back in time"
na mimi kwa mawazo yangu nahisi kama inawezekana!

mfano, nchi ya Rwanda iko nyuma ya Tanzania kwa saa moja , ikiwa Rwanda ni saa 12 asubuhi, basi Tanzania ni saa moja .

je ukifa Tanzania tarehe 1 january huwezi kuzikwa Rwanda tarehe 31 disemba.

wajuvi wa mambo nipeni ufafanuzi. !!
 
je huo muda wa kufa na kusafirishwa kuwahi kule ambapo muda/masaa yapo nyuma utatumia usafiri gani uweze kuwahi? labda theoreticaly ukae mpakani mwa hizo nchi mbili ukisubiri kufauvushwe boda tu uzikwe jana yake kwa masaa ya tz. rwanda watakuconsider kuwa umekufa in future ukaja zikwa in present na tz wata kuconsider umekufa in present bt ukazikwa in past. ni concept ngumu kidogo kumeza but if u cant convivce them confuse them
 
Inawezekana lakini si kwa maana halisi ya ulichoandika kwakuwa tofauti ya muda duniani haiweZi kuzidi saa 72 lakini pia kwa tafsiri ya ulimwengu roho hakuna kitu kama hicho
Kwenye ulimwengu wa kiroho tunakufa masaa si chini ya 12 kabla kifo kamili kutokea
-mgonjwa aliye mahututi anapata nafuu ghafla na kula vizuri tuu huyo hamalizi 12 alishakufa
-mtu anasita kwa mfano kusafiri lakini anazalizimisha, ndani ya masaa 12 anapata ajali na kufa
-mtoto mke jamaa au rafiki anakuzuia kufanya jambo fulani hasa safari kwa vilio(mtoto)au maneno kwa watu wazima lakini unalazimisha...kama umeshakufa hutakubali ushauri wao na kifo halisi kitatokea ndani ya masaa 12
 
Katika ubora wako, na mwanaume kwenye kazi huaga hulewi sifa.
 
Mtoa mada iyo inawezekana ila kama unataka fanya hivi;
Sasa ni saa 16h11 - Tanzania
ni saa 23h11 - Sydney Australia = 7hrs behind
na ni saa 09h11 - New york Marekani = 7hrs ahead

nenda kafie Australia uwaambie wakuzikie Marekani.
 
je huo muda wa kufa na kusafirishwa kuwahi kule ambapo muda/masaa yapo nyuma utatumia usafiri gani uweze kuwahi? labda theoreticaly ukae mpakani mwa hizo nchi mbili ukisubiri kufauvushwe boda tu uzikwe jana yake kwa masaa ya tz. rwanda watakuconsider kuwa umekufa in future ukaja zikwa in present na tz wata kuconsider umekufa in present bt ukazikwa in past. ni concept ngumu kidogo kumeza but if u cant convivce them confuse them
We jamaa noma, yaani nimecheka hadi basi... Dah!
 
Kuna concept ya time space travelling, ambayo ukisafiri kwa spidi kubwa kwenye space una-slowdown time. Hivyo siku moja in space inaweza kuwa miaka 20 dunian.

Ni complex idea, ila elewa hivyo. Watu wataenda kwenye solar systems za mbali kwa kutumia siku chache tu, lakini ni mamia ya miaka dunian. Watashangaa watakaporudi wanakuwa nyuma kwa miaka kibao na kila kitu kimebadilika sana.

Nao wanakuwa wanaishi past in present, maana wataonekana vijana wa miaka 20 kumbe wana miaka 600
 
kweli complex ! hata sijaelewa .

kwa maelezo hayo yawezekana hata Ibrahimu (biblical figure ) aliwahi kwenda space. kiding.
 
Inawezekana lakini si kwa maana halisi ya ulichoandika kwakuwa tofauti ya muda duniani haiweZi kuzidi saa 72 lakini pia kwa tafsiri ya ulimwengu roho hakuna kitu kama hicho
Kwenye ulimwengu wa kiroho tunakufa masaa si chini ya 12 kabla kifo kamili kutokea
-mgonjwa aliye mahututi anapata nafuu ghafla na kula vizuri tuu huyo hamalizi 12 alishakufa
-mtu anasita kwa mfano kusafiri lakini anazalizimisha, ndani ya masaa 12 anapata ajali na kufa
-mtoto mke jamaa au rafiki anakuzuia kufanya jambo fulani hasa safari kwa vilio(mtoto)au maneno kwa watu wazima lakini unalazimisha...kama umeshakufa hutakubali ushauri wao na kifo halisi kitatokea ndani ya masaa 12
kwa maelezo yako mshana jr unataka niwe nazingatia mke wangu akikataa nisisafiri au?

au nisafiri kabla ya saa 12 nishuke nje ya chombo cha usafiri?
 
Back
Top Bottom